ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Lile la rafiki.....mbona kama na mimi nimelisahau jamani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile la rafiki.....mbona kama na mimi nimelisahau jamani....
sasa lile siwezi kulitaja hapa....Lile la rafiki.....
Nikumbushe kulesasa lile siwezi kulitaja hapa....
😂😂😂 jirani mbona hivo lakini??Thd yako inaruhusu kuwataja na memba wapumbavu wasiokua na akili timamu,wenye comment za kijinga jinga?
Kabisa, nikija kwako nikimkuta namuwekea upupu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Inaonyesha yule bwana hutaki kabisa kumsikia