Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

Binafsi nawapenda wote hasa wale ambao hawanaga majibu ya shombo. Kama unajijua huwa unajibu hoja vizuri bila kutukana jua tu nakupenda. Kuna wale pia huwa wana michango yenye kuchekesha hata kama ameenda nje ya mada hawa nao wanafanya hili jukwaa liwe sehemu ya burudani. Mbarikiwe sana kila mmoja kwa nafasi yake.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Dotto lazima ale shavu uchaguzi ujao. Naona hata yeye kashausoma mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…