Anaonekana au linaonekana, Mbona huna shaka na jeshi la malawi au Afrika kusini maana wote walikua pamoja.
.Mimi najua kinachowafanya kushindwa.
.Ni masharti wanayowekea kuhusu kutumia kutumia kama walinda Amani.
.Hebu fikilia Tanzania dhaifu,jeshi la afrika kusini, halina ndege vita ya kuweza kuploon safura na ngome za M23, Unachotakiwa kujua Vita ya Congo DRC, haitakiwi kuisha, wapo mpaka wa Congo wanaomba vita isiishe.
.Congo kuna vunwa kwanza kukitulia hawezi vuna, sasa wewe na Nchi yako jidanganye eti jeshi la Tanzania ni dhaifu, hata muwe na jeshi zuri Humuwezi shinda vita Congo, wacongo ni wasaliti wakubwa, leo anakuitikia kesho anakukana, leo anakukana kesho anakuitikia, Usijimalize kwa mkongo.