MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
tanzagiza mnadanganywa na kijidanganya sana, tanzagiza is not good in anything kipi kinakufanya uamini iko vizuri kwenye military? hao watu wa military wanatokea wapi? kwa mfumo upi wa elimu? kwa efficiency ipi iliyoonyeshwa popote hadi uamini tanzagiza kuna hiyo military yenye hizo sifa?
ndege imeanguka ziwani military imeshindwa kuokoa wanatumia kamba, meli ilizama 100 meter from sea shore watu wamekufa navy au jeshi la wana maji walikuwa wapi kuokoa watu? msaada ulitoka south afrikan navy halafu kutwa nzima mnasifia, mnasifia nini ?
Kwahiyo haya matatizo yameanza kuwepo punde tu baada ya Samia kuingia, ila kipindi cha kipenzi wenu Magufuli yupo madaraki hayakuwepo. Si ndiyo ???