Rwanda kuichukua Tanzania kijiwe chenu Cha kitusi na kujifurahisha tu. Umeropoka kujifanya unajua eti jw ni dhaifu pigana na Tanzania ishinde ndiyo uje ubinue mdomo kuwa Rwanda wanaweza kuichukua Tanzania kwa vita. Umeongea kuhusu Lugalo ndiyo unachojua na fremu zile za mjini. Nimekutajia sehemu moja tu PULAMBILI Hakuna kitu unajua. Tulia JW Uijui. Unaleta chuki zako za kisiasa kwenye jeshi. Huyo Rwanda wako kashasimamishiwa bendera ya tz kwenye ardhi yaka na akatulia.
We endelea kutetetea ujinga, ukweli umeshaonekana. Kanali amerudi kupitia Rwanda na anakaguliwa na polisi. Halafu unasema kwa thorax Tanzania tuna jeshi. Morali ya jeshi inaanza na raia wa kawaida, kama raia wa kawaida amekosa matumaini na nchi yake jeshi je ? Jeshi la Kongo ni dhaifu kwa sababu ukimuangalia raia wa kawaida wa kongo hana matumaini na serikali. Wanajeshi watatoa wapi matumaini ? Nchi hii ikiendelea hivi 2040 tutakuwa kama Congo. Ninajua ninachokisema ninaposema Rwanda anaweza kuichukua Tanzania nzima.