Hoja hii ni mufilisi na ya kipuuzi sana,
Mosi, wazawa wana uwezo mkubwa wa kukusaliti kuliko hata wageni. Tanzania imefikishwa hapa siyo na wageni, bali wasaliti walioko ndani ya CCM kama Jakaya Kikwete, Edward Lowassa, Rostam Azizi, Andrew Chenge na Benjamini Mkapa, ambao waliiuza hii nchi kwa kuanza kujihusisha na Masonic Lodges of Scottish Rite ambazo ni Foreign Services Recruitment Grounds. CCM ndiyo wasaliti, hakuna mwingine.
Pili, hata a world class Spy Organizations kama MI6, MOSSAD, CIA, KGB na MSS huingiliwa na adui, sembuse TISS na TPDF. Uzuri ni kwamba, TISS na TPDF hazifanyi kazi kama Saccoss ya wauza sambusa. Kuna Compartmentalization na Security Level Clearance. Huwezi kufanya kazi ambayo hujapewa, wala huwezi kuingia mlango ambao hujaitwa, wala huwezi kwenda mkoa ambao hujapewa ruhusa kwenda.
Case Officers wa Foreign Directorate, hamfahamu Case Officer wa Counter-intelligence, Case Officer wa Directorate of Military Affairs, hamfahamu Case Officer wa Department of Law Enforcement au Department of Recruitment, Research and Training. Eti kwamba, TISS na TPDF ni kama pagale unaloamua hata kuingilia dirishani tu.
Sisi tunasubiri huyo Kagame akosee njia muone.