Hakuna lolote sehemu ya jeshi iliokwenda DRC ni sawa na tone la maji kwenye bahari, ukanda huu wa Africa Mashariki Tanzania tuko vizuri na stable sanaShida Tanzania wanajiona kwa history za Nyerere, ila sasa hivi nchi sio yile yile na majirani wamejianda vizuli zaid ya tanzania
Hizi ni propaganda za kitoto South Africa wanajeshi wake walio kwenda DRC hata 500 hawafiki , halafu unajisifia ujinga kuwa umelishinda jeshi la South Africa huku ni kujidanganyaThey always request permission and apology to M23 to fetching water, buying Gaz and ….
View: https://x.com/tredingrw/status/1894379563624308987?s=46
Fedheha ni ya DRC sio SADC, wao ni waalikwa tu pale CongoHii fedheha kubwa sana hii!!
Endapo kama Watawala wa nchi wangekuwa wanasikia maoni yetu sisi Wananchi Basi fedheha hii wala isingetukumba kamwe.
Ona sasa mambo jinsi yalivyoharibika!!
Yaani ni aibu kubwa sana hii!!
Ukiwaangalia wanavyofanya maonyesho kuwafurahisha wajinga wa CCM ili kuwatisha Watanzania wasio na hatia alafu ukiangalia hapo wanavyodharilishwa na hao askari wa Kagame unajisemea tu moyoni kuwa Jeshi letu linatakiwa kupata Viongozi wanaojitambua sio cowards wa wanasiasa.
Wazee mbona mnaongea sana vitu msivyovijua? Vita ya Congo sio yetu, ni vita kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23. Sadc wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. UN wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. Hizo troops zote zinafuata maelekezo ya SADC na UN hao ndio wenye mwamvuli. Na ukisikia kulinda amani sio kuleta Amani au kutengeneza Amani, kulinda Amani ni kulinda hiyo amani ndogo iliyopo hapo.Ukiwaangalia wanavyofanya maonyesho kuwafurahisha wajinga wa CCM ili kuwatisha Watanzania wasio na hatia alafu ukiangalia hapo wanavyodharilishwa na hao askari wa Kagame unajisemea tu moyoni kuwa Jeshi letu linatakiwa kupata Viongozi wanaojitambua sio cowards wa wanasiasa.
Sasa kama jeshi la DRC lina kimbia hawa wageni wafanye nini? Huwezi kusaidia nchi ambayo wenyewe hawaoni umuhimu wa jamboKisingizio cha bongo ni eti wamefungwa mkono kuishambulia M23.
Sasa kama hamruhusiwi kuishambulia M23 mmeenda Kongo kufanya nini?, Kutalii?
Natabiri kwamba una akaunti mtandao wa X, zamani tweeter. Ndio akili zenu hizi.tanzagiza ndiyo nchi pekee ambayo wanajeshi wanazurura mitaani na kupiga raia ambao wameapa kuwalinda, kwa kifupi hawajui hata kazi yao ni ipi ktk jamii ije kuwa kupelekwa vitani kushindana na well trained disciplined army ?
suluhisho la matatizo na umaskini uliopindukia tanzagiza ni meritrocracy, basi, jeshi wafanye iq testing kabla ya kuajiri na siyo sijui michaka michaka na kutesana bila ya sababu, wafanyiwe both Intelligence testing na cognitive testing wanaopata above average ndiyo wachukuliwe na kuanza kupewa mafunzo ya kijeshi, vinginevyo hamna kitu hapo ….
Natabiri kwamba una akaunti mtandao wa X, zamani tweeter. Ndio akili zenu hizi.
Mkiambiwa ukweli mnaita watu vijana wa Kagame, na mleta mada ni muongo mkubwa apuuzwe piaVijana wa kagame hao wametumwa kuja kujifurahisha mitandaoni.
Walienda kupambana na M23 sio kukinda amani , rudia kwa video vizuli siku waliofikaAnaonekana au linaonekana, Mbona huna shaka na jeshi la malawi au Afrika kusini maana wote walikua pamoja.
.Mimi najua kinachowafanya kushindwa.
.Ni masharti wanayowekea kuhusu kutumia kutumia kama walinda Amani.
.Hebu fikilia Tanzania dhaifu,jeshi la afrika kusini, halina ndege vita ya kuweza kuploon safura na ngome za M23, Unachotakiwa kujua Vita ya Congo DRC, haitakiwi kuisha, wapo mpaka wa Congo wanaomba vita isiishe.
.Congo kuna vunwa kwanza kukitulia hawezi vuna, sasa wewe na Nchi yako jidanganye eti jeshi la Tanzania ni dhaifu, hata muwe na jeshi zuri Humuwezi shinda vita Congo, wacongo ni wasaliti wakubwa, leo anakuitikia kesho anakukana, leo anakukana kesho anakuitikia, Usijimalize kwa mkongo.
Uongo, SMDRC NA UN Ni watu 2 tft, tafuta habari vizuli walienda kupigana na M23 wakimaliza watambia mwingineWazee mbona mnaongea sana vitu msivyovijua? Vita ya Congo sio yetu, ni vita kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23. Sadc wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. UN wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. Hizo troops zote zinafuata maelekezo ya SADC na UN hao ndio wenye mwamvuli. Na ukisikia kulinda amani sio kuleta Amani au kutengeneza Amani, kulinda Amani ni kulinda hiyo amani ndogo iliyopo hapo.
Kwa kifupi jeshi letu liamke na kuacha kuwa makondoo wa CCM. Haya ndo matokeo ya Jeshi kuwa vibaraka wa wanasiasa wajinga.Hakuna aliyetekwa na m23 ni vita visivyo na faida kwa washirika ndio maana majeshi ya SADC wameamua kujiondoa. Rais wa Kongo mwenyewe ndio kafeli. JWTZ wakitangaza kesho wanatakq kukomboa maeneo yaliyoshikwa na m23 ni siku tatu tu watakimbia tena Uganda na Rwanda.
Hakuna cha ubish hapa.
Walienda kupambana na M23 sio kukinda amani , rudia kwa video vizuli siku waliofika