Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Hivi wajuvi wa mambo aya ebu nisadieni ,hakuna namna au kutafuta sasababu yoyote ya kuifuta Rwanda iwe moja ya sehema za nchi za Afrika mashariki , naona kama msubufu , shida nini kwamba ana nini cha juu kuliko nchi nyingine ndani ya Afrika mashariki?
Uifute kwa sababu gani? Subiri wakoloni wakianza tena kuweka mipaka uwape proposal yako.
 
Kumbe wewe ni chizi la kidini unaleta dini humu. Tanzania aitanunua ndege ya kijeshi ikujukishe wewe kuwa imenunua ndege wewe Kama nani?. Waambie mabwana zako tukiiteka Kongo tukateke Kagera au kigoma alafu uone nini kitatokea. Unaleta Upumbavu wa kidini hapa. Eti kusimika kanisa makanisa Tanzania yameingia toka hata Nyerere hajazaliwa alafu unaongea Kama mtu usiyekua na akili.
Alyeleta udini ni baba yako nyerere, hakuwa na haja ya kumpiga vita iddi amini ila alitaka kusimika kanisa, ww hujuwi lolote uliza wazazi wako ni kwanini Tz ilimpiga vita iddi amini, usubiri itekewe kagera, Malawi tu wamepora ziwa lenu lile lake nyasa siju lake tanganyika mmeshindwa kufanya chochote,

Mombasa Kenya ni sehemu ya Zanzibar na Tanzania mbona mmeshindwa kuikomboa. nyinyi subirini uchaguzi mpige wananchi mabomu tu ndio mnayojua kwenye vita vya nchi na nchi hama kitu, M23 inawarejesha kwenye masanduku
 
Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ!

Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo.

What we use to know as Tanzania Pride iliyokuwa inabebwa na Jeshi letu la Wananchi (Tanzania People's Defence Forces) imefikia tamati baada ya wanajeshi wetu kudhalilishwa huko Rwanda kwa kusubilishwa kwa masaa mpakani na Wanajeshi (Mamlaka za Rwanda).

Wanajeshi wetu waliosubilishwa mpakani ni sehemu ya majeruhi wa vikosi vya SADC waliopokea kichapo kutoka kwa Wanajeshi wa Rwanda na Washirika wao M23.

Inasemwa pia Wanajeshi wetu kama sehemu ya wanajeshi wa SADC wamenyang'anywa silaha zao na wanamgambo wa M23 na kuwekwa chini ya ulinzi mkali. Hawawezi fanya chochote bila ruhusa ya M23.

Itakumbukwa hadi miili ya Wanajeshi wetu waliouwawa bado haijarudishwa na inawezekana jamaa wanatuwekea ngumu ili tuendelee kuwalamba miguu na ili watuoneshe kuwa sasa wao ndo mabwana zetu kivita.

Naumia sana Nchi yangu kufikia hapa. Naumia sana Jeshi langu JWTZ kufikia kudhalilishwa hivi.

Kuna haja ya kujitafakari na kuanza upya. CCM ni janga.
View attachment 3249000

=======

Takriban wanajeshi 200 wanaohitaji wakihitajihuduma ya matibabu wakiwemo wale wa Afrika Kusini, Malawi na Tanzania walioko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa ujumbe unaojulikana kwa jina la SAMIDRC waliondoka Goma na kuvuka mpaka na kuingia Rwanda kuelekea Kigali kwaajili ya kupata ndege za kuwarejesha makwao.

Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini alitangaza wikendiiliyopita kwamba wanajeshi wao waliojeruhiwa katika mapigano na M23 nchini DRC wataanza kurejeshwa makwao wiki hii.

Donatien Mugabo, mkazi wa Gisenyi nchini Rwanda,ambaye ameshuhudia magari yaliyokuwayamewabeba askari hao yakiondoka mpakani kwa upande wa Rwanda, ameiambia BBC kuwa walikuwa kwenye mpaka huo kwa saa kadhaa.

g

Walifika mpakani Jumatatu saa sita mchana, na waliondoka mpakani baada ya saa kumi na mbili jioni, Donatien anasema.

Haijabainika ni nini kilisababisha wacheleweshwe mpakani.

Vyombo vya habari vya Goma - jiji linalodhibitiwa na M23 na nchini Rwanda vilipigwa marufuku kupiga picha au kuzungumza na wanajeshi, kama ilivyokuwa wakati mamluki wa Ulaya walipoondoka Goma kupitia Rwanda.
Magazeti ya Rwanda yanaripoti kuwa wanajeshi 129 wanatoka Afrika Kusini, 40 kutoka Malawi na 25 kutoka Tanzania.

Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na nchi walikotoka askari hao hawajazungumzia kuachiliwa kwa askari hao wanaotajwa kuhitaji matibabu.
Hii taarifa imenifanya nipoteze hamu ya kuendea kuwa humu, usiku mwema
 
SAHVI TUNA JESHI LA WANASIASA NA CYO YA WANANCHI.JESHI LA WANANCHI LIMESHAFARIKI KITAMBO.MAZISHI IMEFANYIKIA KWENYE VIWANJA VYA SIASA IBADA ILIONGOZWA NA PASTERI WA CCM
Kuna wakati nliona wanajeshi wa jwtz wameenda mtembelea konde boy ahh basi hapo nkajuwa
Jeshi letu lishaingia walakini 😄
Jeshi limejiunga na wakata mauno

Ova
 
Kwani Jeshi la SADC lilikua la Kulinda amani au kupigana? Na kama lilikua la kulinda amani kwann mnataka lipigane na M23 Wakati wao walienda kulinda amani?

Kama lilikua la kuwarudisha nyuma M23 ila ndo wao wamerudishwa nyumbani bc, M23 Wapewe hyo nchi tu tuache kuwqchelewesha

Naomba kufahamishwa.
 
Alyeleta udini ni baba yako nyerere, hakuwa na haja ya kumpiga vita iddi amini ila alitaka kusimika kanisa, ww hujuwi lolote uliza wazazi wako ni kwanini Tz ilimpiga vita iddi amini, usubiri itekewe kagera, Malawi tu wamepora ziwa lenu lile lake nyasa siju lake tanganyika mmeshindwa kufanya chochote,

Mombasa Kenya ni sehemu ya Zanzibar na Tanzania mbona mmeshindwa kuikomboa. nyinyi subirini uchaguzi mpige wananchi mabomu tu ndio mnayojua kwenye vita vya nchi na nchi hama kitu, M23 inawarejesha kwenye masanduku
Tabula rasa, huyu apuuzwe.
 
Back
Top Bottom