Vipi Siku ikifika binadamu akaweza kufanya Digital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifoNiliona humu JF kuna mtu kaandika kwamba
"No one is special when it comes ti death"
Tunaona kwenye hizi sci-fi movies mara kwa mara nimeangalia movie nyingi sana zenye visa kama hivyo.Vipi Siku ikifika binadamu akaweza kufanya Digital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifo
Ila hisia si ni madhara ya kemikali zilizopo kwenye ubongo na mtazamo wa mtu kwenye tukio fulani unaojengwa na experience za mtu ambazo ni kumbukumbu tuTunaona kwenye hizi sci-fi movies mara kwa mara nimeangalia movie nyingi sana zenye visa kama hivyo.
Moja ya kitu ambacho themes za hizo movies walikuwa wanagusia ni kwamba artificial intelligence inakuwa imeenda mbali mpaka uyo roboti amewekewa chip anakuwa completely kama mhusika kamili.
Lakini swala linakuja kwamba hisia ni kitu ambacho kinakosekana katika hizo roboti.
Inawezekana ila sio kwa kiwango nachokiona unacho jaribu kukiwasilisha hapa.Ila hisia si ni madhara ya kemikali zilizopo kwenye ubongo na mtazamo wa mtu kwenye tukio fulani unaojengwa na experience za mtu ambazo ni kumbukumbu tu
We are not just living in the universe but we are part of it. Tunategemeana. Siyo tu sisi binadamu tutegeme tu viumbe vingine nao pia wanatutegemea tukifa. Haya madini gesi na mafuta ni miili ya watu waliokufa zamani. Ukifa leo utakuwa msaada kwa vizazi vijavyo malaki na mamilioni ya miaka ijayo. Kwasababu utachangia chimbuko la rasilimali na rare earth minerals.Mara tu mapigo ya moyo wako yanaposimama kupiga, mwili wa binadamu huanza mara moja mfululizo maalum wa mabadiliko ya kibaiolojia ya kuoza.
Kadiri oksijeni inavyoacha kusambazwa, seli huanza kulegea katika hali inayoitwa kulegea kwa awali (primary flaccidity), kisha hufuatiwa na rigor mortis — yaani kukakamaa kwa misuli kunakosababishwa na kuisha kwa nishati ndani ya misuli. Wakati huohuo, algor mortis huanza, ambapo mwili hupoa taratibu hadi kufikia joto la mazingira yanayouzunguka. Sambamba na hayo, mchakato wa autolysis huanza: vimeng’enya vya ndani ya seli huanza kuvunja tishu kutoka ndani katika hali ya kujimega yenyewe.
Mabadiliko haya ya haraka ya kikemia ndani ya mwili ndiyo huashiria mwanzo wa mchakato mkubwa wa mageuzi, ambapo mwili uliokuwa hai hubadilika na kuwa sehemu muhimu ya urejeshaji wa mazingira.
Baada ya muda mfupi, bakteria wa nje, kuvu, na wadudu hujiunga katika mchakato huu, wakichangia kuvunjika zaidi kwa tishu laini na kutoa gesi zinazoharakisha kuoza. Kutegemea hali kama vile joto, unyevunyevu, na aina ya udongo, mwili usio na uhai, hatimaye hufikia hatua ya kubaki mifupa (skeletonization), ambapo hubaki mifupa na meno pekee.
Mbali na kuwa mwisho wa maisha, kuoza huku kwa asili kuna umuhimu mkubwa wa kiikolojia. Madini na virutubisho muhimu hurejeshwa ardhini, na hivyo kuimarisha rutuba ya udongo na kusaidia ukuaji wa mimea mipya. Kwa namna hii, mwili huendelea kuwa sehemu ya mzunguko usio na mwisho wa maisha na uhuishaji wa mazingira.
View attachment 3563825
Ila kibaolojia inaweza kuwa hivyo, sema ukianza kuzungumzia mambo ya consciousness ndiyo haijulikani ni nini hasaInawezekana ila sio kwa kiwango nachokiona unacho jaribu kukiwasilisha hapa.
Atakudownlodia nani wakati ushakufa?Vipi Siku ikifika binadamu akaweza kufanya Digital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifo
watao bakia wanaitoa hyo chip, kama ni ndugu, mke, marafikiAtakudownlodia nani wakati ushakufa?
(2,788) Kuna watu hufa mara mbili | JamiiForums Kuna watu hufa mara mbiliVp Ushawah kufa??
NdioDigital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifo