Infact, nilikuwa nahofia sana habari za kifonila kadiri muda unavyosogea nakiona kama sehemu muhimu sana ya maisha ya binadamu. Tunatishana tulio hai na tunatumia akili ya mawili kuhofu ila mtu halisi kwa hakika ni roho.
Mwili ni vifungashio "packages". Ni kama mfuko tu, hakuna cha kuogofya ukielewa hata kwa kubahatisha tu mawanda ya kiroho. Naweza nisieleweke ila kwa hakika kifo ni "cosmic joke" .
Uhai ndiyo upo na tofauti ni mawanda "extremes" uhai ukiwa katika mawanda ya chini unaoitwa kifo na uhai huohuo ukiwa katika mawanda ya juu ni uhai.