Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Nafikiri tunapoelekea itawezekana, sasa wanatengeneza nyama kwenye laboratory/viwandani na tayari zipo sokoniVipi Siku ikifika binadamu akaweza kufanya Digital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifo
Bado kuna cloning sijui huwa ni kweli au story tu,Nafikiri tunapoelekea itawezekana, sasa wanatengeneza nyama kwenye laboratory/viwandani na tayari zipo sokoni
Asante sana mkuu wangu🙏🏿Mkuu haya maeno ya ubobezi mimi sina kikwazo🫱🏽🫲🏾
Ushasema kutunza kumbukumbu za mtu aliyekufa, sasa itakuaje Tena umebadili maana ya kifo?Vipi Siku ikifika binadamu akaweza kufanya Digital immortality kuweka chip kwenye ubongo itayoweza kutunza kumbukumbu na personality kisha kuzi download pale anapokufa kisha kuziweka kwenye robot na kufanya mtu aendelee kuwepo, hii itabadilisha maana ya kifo
Kabisa, kwenye physics kifo kile cha uzee kinaweza kutafsiriwa kama error kwenye mitochondrial cell kushindwa kujigenerate, ila kuna viumbe kama hydra wapo baharini wao inasemekana wanaishi milele, pia kuna aina moja ya shrimp ambao wanajivua gamba wanapozeeka na kuwa vijana tena, hii inafanya kifo kuwa concept tu, maana kwenye sayansi ni unsolved error na kwenye spiritual ni journey kwenye higher dimensionInfact, nilikuwa nahofia sana habari za kifonila kadiri muda unavyosogea nakiona kama sehemu muhimu sana ya maisha ya binadamu. Tunatishana tulio hai na tunatumia akili ya mawili kuhofu ila mtu halisi kwa hakika ni roho.
Mwili ni vifungashio "packages". Ni kama mfuko tu, hakuna cha kuogofya ukielewa hata kwa kubahatisha tu mawanda ya kiroho. Naweza nisieleweke ila kwa hakika kifo ni "cosmic joke" .
Uhai ndiyo upo na tofauti ni mawanda "extremes" uhai ukiwa katika mawanda ya chini unaoitwa kifo na uhai huohuo ukiwa katika mawanda ya juu ni uhai.
Maana ya kwamba kifo ndio mwisho, kama unaweza kumrudisha mtu kwenye digital body basi mwisho wa mtu inakuwa sio kifo tenaUshasema kutunza kumbukumbu za mtu aliyekufa, sasa itakuaje Tena umebadili maana ya kifo?
Bado umerudi kulekule, n Sawa na kusema mwanafunzi amepata division 0 ya mwanzoni Na sio ya mwisho.Maana ya kwamba kifo ndio mwisho, kama unaweza kumrudisha mtu kwenye digital body basi mwisho wa mtu inakuwa sio kifo tena
hata utafauti mdogo pia ni utafauti, division 0 ni set tu ya matokeo fulani ila humu ndani kuna matokeo tofauti,Bado umerudi kulekule, n Sawa na kusema mwanafunzi amepata division 0 ya mwanzoni Na sio ya mwisho.
Ila hii ishu nadhani haiwezekani ndo mana mpaka leo hatujawah kusikia hii ishu pamoja na wanasayansi kuhifadhi baadhi ya ubongo wa ma-genius waliokuwepo kama Albert Einsteinhata utafauti mdogo pia ni utafauti, division 0 ni set tu ya matokeo fulani ila humu ndani kuna matokeo tofauti,
kama unaweza kuweka personality na kumbukumbu za mtu na kuweza kuongea naye tena kwenye mwili mwingine hii ni utofauti mkubwa
Ndio kwa sasa haiwezekaniIla hii ishu nadhani haiwezekani ndo mana mpaka leo hatujawah kusikia hii ishu pamoja na wanasayansi kuhifadhi baadhi ya ubongo wa ma-genius waliokuwepo kama Albert Einstein