Wana Dodoma Mwita Maranya ni mgeni wenu..... Halahala madada wa huko kaeni chonjo funguo kabaki nazo mkewe mwaJ.
namkaribisha mpwapwa...
Wadau wa Idodomya nitakuwepo hapa nyumbani kwenu hadi Ijumaa. Nitafurahi sana kama tutaweza kukutana?kuonana kesho.
Wadau wa Idodomya nitakuwepo hapa nyumbani kwenu hadi Ijumaa. Nitafurahi sana kama tutaweza kukutana?kuonana kesho.
atakuja kweli.....utamuweza mkurya wewe?
Si ukuje na Rock City Sakoro?
unadhani Mwita Maranya atamwacha dar?
Swadakta jibu murua kabisa...eti Mamndenyi kanisusia swali...hajui kuwa kuna jiniazi atasoma hilo chezo.
kesho itakuwa bomba sana.... au IjumaaWadau wa Idodomya nitakuwepo hapa nyumbani kwenu hadi Ijumaa. Nitafurahi sana kama tutaweza kukutana?kuonana kesho.