niambie wewe mwenyewe....sitaki yapitie upande wa pili
Amejitokeza mwalimu wa ukweli JF afu ni HE....fuatilia post hapo juu baada ya ile niliyo CC kwa falipo, arabela na mwalimu
Hebu twende PM kwanza. Hapa wanga wengi.Hakuna janga wala dhoruba mzeee....kwanza ulinambia una kesi na mimi kuleee, ulivyoona nataja wakili umepiga kimya, nambie nina kesi gani na wewe?
Hebu twende PM kwanza. Hapa wanga wengi.
mmmmmmmmhhhhhh???????
mi ndo maana nikakwambia sidanganyikiiiii ona sasa