Rudisha upanga wako alani kwakuwa imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga..... Imeandikwa wenye macho hawataona na wenye masikio hawatasikia....
Ntake razi kwa kunifanya Radio Wani Stirio...
Hahahahaa, njoo ufanyiwe maombi:shock:Hapo ndo umenifafanulia? Unazeeka vibaya wewe
Unaifahamu radio ya wafu?Nikumbushe basi wewe ni radio gani vileeeee......samawani
Hahahahaa, njoo ufanyiwe maombi:shock:
Sasa haya ndo yanaitwa majanga. Unakuwa mchoyo mpaka mkono unapotea kinywa?Najoombea mwenyewe mie, upako ninao wa kutosha
Filipo janga hili........tunafanyaje sasa?
Ngoja kwanza tumalize kazi moja! Hii confussion iliyotokea h
Hii confussion iliyotokea hapo, tunafanyaje sasa! Maana ni utata full!
Ebu waitwe na akina Arabela, Kaizer, Arushaone, PakaJimmy, Lily Flower, na ikiwezekana Mzee wa Rula ahusishwe!
Sasa haya ndo yanaitwa majanga. Unakuwa mchoyo mpaka mkono unapotea kinywa?
mrushie bomu la mkono huyo
Embu weka vizuri kisemeo chako maana sikupati vizuri!
Ngoja kwanza tumalize kazi moja! Hii confussion iliyotokea h
Hii confussion iliyotokea hapo, tunafanyaje sasa! Maana ni utata full!
Ebu waitwe na akina Arabela, Kaizer, Arushaone, PakaJimmy, Lily Flower, na ikiwezekana Mzee wa Rula
ahusishwe!
Sasa haya ndo yanaitwa majanga. Unakuwa mchoyo mpaka mkono unapotea kinywa?
Unaifahamu radio ya wafu?