....Mwita Maranya ...Dodoma hodiiii ....... Nipokeeni wadau

....Mwita Maranya ...Dodoma hodiiii ....... Nipokeeni wadau

Wana Dodoma Mwita Maranya ni mgeni wenu..... Halahala madada wa huko kaeni chonjo funguo kabaki nazo mkewe mwaJ.

Ha ha ha haaaaaaaa! Mamndenyi unajua umenichekesha ghafla! Umenikumbusha lile tangazo la kujilinda na aids, mkaka kaenda karakana akatengenezesha pichu ya chuma .....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom