Nendache nyakoro tansabhela Enokwi anturi.Bhono mbuyole mona weito.
Wana Dodoma Mwita Maranya ni mgeni wenu..... Halahala madada wa huko kaeni chonjo funguo kabaki nazo mkewe mwaJ.
atakuja kweli.....utamuweza mkurya wewe?
Mamndenyi ndo mtunza diary ya Mwita Maranya in aza weds ni 'personal assistant 'wake,ushanfahamu watu8?
Heee yaani umeamua kufunguka kupitia mimi makubwa.
Tena umeshaniletea noma kwa Bishanga. Ujue kafute ule uzi wa kuniacha ama sivyo nafuta huu tuone.
mwambie kesho tuonane kuanzia saa 12 chako ni chako kwa ZAI.
Tuwafundishe kuku adabu
uhoile tata Mwita Maranya
????????
Mmmmmhhhhh, mnaniteta?
Heee kwani hivi ni sawa na kufanya.
Subiri akugeche ndo utajua......copy aione Mwita Maranya
Sasa wewe mzee mbona unatamani kung'olewa kucha. Bibi yako wa UDOM umenikatalia nisiende kumsabahi. Hapa ninasalimiana na dada yangu The secretary kiroho kinaanza kukudundia mgongoni!?