Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Basi niite shemeji
Cc: The secretary
Mmmmmhhhhh, mnaniteta?
Basi niite shemeji
Cc: The secretary
Mamndenyi bishanga hataki kubanana ujue?
Mwambie nimemwachia mibuyu yote kashindwa kuipakata hata mkaratusi pia asiniumizie nimemwachia kwa roho safi
Wana Dodoma Mwita Maranya ni mgeni wenu..... Halahala madada wa huko kaeni chonjo funguo kabaki nazo mkewe mwaJ.
Mwambie nimemwachia mibuyu yote kashindwa kuipakata hata mkaratusi pia asiniumizie nimemwachia kwa roho safi
poa jamani.
Umefikia wapi?nikuletee vitumbua na bagia za barabara ya 9 kwa wanubi?
daah Mwita Maranya atarudi tena kweli,
hapa hata imani imeniishia.