Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #101 KOKUTONA said: mwalimu hujamuona hapo juu? Kaja mwenyewe. Mi niko powa sana. Naona unafanya mixing grill. Sheuriyo Click to expand... Mi siamini KOKUTONA hadi niguse Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KOKUTONA said: mwalimu hujamuona hapo juu? Kaja mwenyewe. Mi niko powa sana. Naona unafanya mixing grill. Sheuriyo Click to expand... Mi siamini KOKUTONA hadi niguse
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #102 sosoliso said: Wewe Kaizer mbona unahatarisha usalama wako mwenyewe..? Akishaiona hiyo copy jeee..? Click to expand... Ndugu yangu sosoliso akishaiona anajua cha kufanya na nadhani umemwona apo juu.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sosoliso said: Wewe Kaizer mbona unahatarisha usalama wako mwenyewe..? Akishaiona hiyo copy jeee..? Click to expand... Ndugu yangu sosoliso akishaiona anajua cha kufanya na nadhani umemwona apo juu....
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jun 21, 2013 #103 Kaizer said: charminglady hebu come zis way nakutafuta ujue Click to expand... haya mekuja kaka mkubwa!
Kaizer said: charminglady hebu come zis way nakutafuta ujue Click to expand... haya mekuja kaka mkubwa!
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #104 Kaizer said: Mi siamini KOKUTONA hadi niguse Click to expand... Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: Mi siamini KOKUTONA hadi niguse Click to expand... Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Jun 21, 2013 #105 Kaizer said: Mkuu Filipo ni network inasababisha hii habari ya kukatika katika, nipo Kiomboi sasa ila ile kazi inabidi nije tuimalizie Click to expand... Baada ya kusema hayo, Mwana wa Adamu akaenda zake!
Kaizer said: Mkuu Filipo ni network inasababisha hii habari ya kukatika katika, nipo Kiomboi sasa ila ile kazi inabidi nije tuimalizie Click to expand... Baada ya kusema hayo, Mwana wa Adamu akaenda zake!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Jun 21, 2013 #106 KOKUTONA said: Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE Click to expand... KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KOKUTONA said: Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE Click to expand... KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #107 By Kaizer
charminglady hebu come zis way nakutafuta ujue Click to expand...

haya mekuja kaka mkubwa! Click to expand... Lile begi langu umenitunzia eeh?
By Kaizer
charminglady hebu come zis way nakutafuta ujue Click to expand...

haya mekuja kaka mkubwa! Click to expand... Lile begi langu umenitunzia eeh?
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #108 KOKUTONA said: Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE Click to expand... KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KOKUTONA said: Haha haaaa haaaa! Khaa, we MBABA wewe... HATARE Click to expand... KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo
Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,602 Reaction score 1,094 Jun 21, 2013 #109 Filipo said: KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula Click to expand... Nipo macho sijalala KOKUTONA hawezi kunitosa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Filipo said: KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula Click to expand... Nipo macho sijalala KOKUTONA hawezi kunitosa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Jun 21, 2013 #110 Kaizer said: KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo Click to expand... Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo Click to expand... Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #111 Asprin said: Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja. Click to expand... Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asprin said: Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja. Click to expand... Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba....
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Jun 21, 2013 #112 Kaizer said: Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba.... Click to expand... Mwambie kabisa kuwa rasimu hii haihitaji kujadiliwa na mabaraza ya kata.
Kaizer said: Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba.... Click to expand... Mwambie kabisa kuwa rasimu hii haihitaji kujadiliwa na mabaraza ya kata.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jun 21, 2013 #113 Asprin said: Mwambie kabisa kuwa rasimu hii haihitaji kujadiliwa na mabaraza ya kata. Click to expand... Haya.... KOKUTONA umesikia? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asprin said: Mwambie kabisa kuwa rasimu hii haihitaji kujadiliwa na mabaraza ya kata. Click to expand... Haya.... KOKUTONA umesikia?
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #114 Filipo said: KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula Click to expand... Haya ninong'oneze hata na Kaizer asisikie....afu nina special order Filipo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Filipo said: KOKUTONA embu soga nikunong'oneze Mwalimu asikie! Copy: Kaizer, Arushaone, Mzee wa Rula Click to expand... Haya ninong'oneze hata na Kaizer asisikie....afu nina special order Filipo.
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #115 Kaizer said: KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo Click to expand... Kwani alipkupa alikwambia unywee? Asprin wa nini sasa M baba?......simama kwa miguu yako mweyewe bhana.... Asprin atakutangaza...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: KOKUTONA, kikombe alichonipa Baba, sitakinywa? Cc Asprin kwa mwongozo Click to expand... Kwani alipkupa alikwambia unywee? Asprin wa nini sasa M baba?......simama kwa miguu yako mweyewe bhana.... Asprin atakutangaza......
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #116 Mwalimu said: Nipo macho sijalala KOKUTONA hawezi kunitosa Click to expand... Filipo janga hili........tunafanyaje sasa? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwalimu said: Nipo macho sijalala KOKUTONA hawezi kunitosa Click to expand... Filipo janga hili........tunafanyaje sasa?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Jun 21, 2013 #117 KOKUTONA said: Kwani alipkupa alikwambia unywee? Asprin wa nini sasa M baba?......simama kwa miguu yako mweyewe bhana.... Asprin atakutangaza...... Click to expand... Ntake razi kwa kunifanya Radio Wani Stirio...
KOKUTONA said: Kwani alipkupa alikwambia unywee? Asprin wa nini sasa M baba?......simama kwa miguu yako mweyewe bhana.... Asprin atakutangaza...... Click to expand... Ntake razi kwa kunifanya Radio Wani Stirio...
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #118 Asprin said: Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja. Click to expand... Mbona sielewi elewi? Nimekuwa mgeni YERUSALEM loh....hebu nipeni details za hiyo rasimu nisije nukajijehanum mwenyewe
Asprin said: Mwongozo wangu ni huu, kuwa KOKUTONA aingizwe kwenye rasimu ya katiba yetu. Kwa maana wote aliokupa baba hujampoteza hata mmoja. Click to expand... Mbona sielewi elewi? Nimekuwa mgeni YERUSALEM loh....hebu nipeni details za hiyo rasimu nisije nukajijehanum mwenyewe
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Jun 21, 2013 #119 KOKUTONA said: Mbona sielewi elewi? Nimekuwa mgeni YERUSALEM loh....hebu nipeni details za hiyo rasimu nisije nukajijehanum mwenyewe Click to expand... Rudisha upanga wako alani kwakuwa imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga..... Imeandikwa wenye macho hawataona na wenye masikio hawatasikia....
KOKUTONA said: Mbona sielewi elewi? Nimekuwa mgeni YERUSALEM loh....hebu nipeni details za hiyo rasimu nisije nukajijehanum mwenyewe Click to expand... Rudisha upanga wako alani kwakuwa imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga..... Imeandikwa wenye macho hawataona na wenye masikio hawatasikia....
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jun 21, 2013 #120 Kaizer said: Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba.... Click to expand... Bila ridhaa yangu?
Kaizer said: Ewaaa...huu mwongozo ni mujarab kabisa... KOKUTONA umeingizwa rasmi kwenye rasimu ya katiba.... Click to expand... Bila ridhaa yangu?