nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Zikiwemo za kuanza kampeni za Ubunge nje ya taratibu za Chama na kumdhihaki Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara mbele ya Vyombo vya habari.
Zaidi soma: Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi - JamiiForums