Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amefika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa kujibu tuhuma ya kuanza kampeni za ubunge nje ya taratibu za chama na kumdhihaki mwenyekiti wa CCM mkoa huo mara kadhaa mbele ya vyombo vya habari.
Hakika nimeamini kuwa mshahara wa usaliti ni kusalitiwa.
In God we Trust
Hakika nimeamini kuwa mshahara wa usaliti ni kusalitiwa.
In God we Trust