nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Siasa Siasani
Hao nao drama kibao wakati mwamuzi na bwana wao Jiwe.
Atakayemtaka yeyote ndio huyo
Usaliti ni laanaNaibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili zikiwemo za kuanza kampeni za Ubunge nje ya taratibu za Chama na kumdhihaki Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara mbele ya Vyombo vya habari
hata jamaa yenu Membe mlimpa bichwa hivyo hivyo... Mwishowe wakina jiwe wamemla kichwa.Anajua wamemuita lakini hawawezi kumfanya chochote, kaenda tu for the sake of it!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa kikao ni nani? Mlalamikaji au makamu wake?Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili zikiwemo za kuanza kampeni za Ubunge nje ya taratibu za Chama na kumdhihaki Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara mbele ya Vyombo vya habari
Hakuna sumu mbaya ya nyoka kama ile inayoufanya mwili uanze kuoza kwa ndani, maana kwa nje mtu anaonekana mzima wa kuvutia, kumbe anakufa ndani kwa ndani na kuoza taratibu. Naona CCM wameumwa na nyoka mwenye sumu ya aina hii.
Kumbuka USA wameapa kuutazama uchaguzi kuwa huru na haki "Mtegemea cha ndugu hufa masikini"Hao nao drama kibao wakati mwamuzi na bwana wao Jiwe.
Atakayemtaka yeyote ndio huyo
Jamaa ake nani!, kapime Corona una dalili.hata jamaa enu membe mlimpa bichwa hivyo hivyo..mwishowe wakina jiwe wamemla kichwa.