Kila aliyewasaliti wananchi hataamka asimame tena. Jambo la kwanza fikiria dua za wale woooote waliozunguusha mikono wakiitikia sauti ya "Peeeooopleeeess......." ule mwaka wa 2015. Hakiya nani wale watu wooote uliowaona na kuwasikia wakiitikia "powaaaa" bado wapo hai wamejichimbia kwenye mitaa wakisononeshwa na watu waliowasaliti baada kuwafikisha pale walipowafikisha kwa taabu nyingi na mateso ya jua kali, baridi kali, mavumbi mengi, njaa kali, usingizi mwingi, mabomu mengi ya machozi, kuwekwa ndani, michango ya fedha, na kutembea kwingi kuwafanya wasaliti wafike pale walipofika kisiasa.
Hakiyamungu hawawezi kusimama tena, Kama unabisha lete kidole tupinge. Hawaji kuwa maarufu tena sio tu kwenye siasa lakini hata kwenye mazishi yao.