Uchaguzi 2020 Mwita Waitara ahoji kwanini Naibu Spika Dr. Tulia hajaitwa kwenye kamati ya maadili?

Uchaguzi 2020 Mwita Waitara ahoji kwanini Naibu Spika Dr. Tulia hajaitwa kwenye kamati ya maadili?

Yani hajitambui kabisaa kama toto vile limejoboa mboga likapigwa sasa na lenyewe linasemelea mbona na mwezangu ka... hapigwi. Wewe macho yako ni ya mwizi hata kama sio mwizi kumbe kipigo nakusingiziwa hakuepukiki.
 
Hawezi kuitwa kwasababu Dk. Tulia HAJAWAHI kutamka hadharani kuwa atagombea ubunge Mbeya Mjini. Ni wasiwasi wa Mh. Sugu tu na vijana wake.
Ndio hajawahi kutamka lakini hivyo vitendo anavyovifanya kwa mujibu wa Katibu Mkuu vina qualify kama kampeni za mapema
Kampeni sio lazima ipigwe explicitly, kutembeza misaada, mikopo, n.k hiyo ni kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kusema ukweli aliyeanza kampeni mapema ni Tulia mpaka amefikia kuandaa kilio cha chadema kwa kuandaa jeneza. Huyu ndiyo takukuru kama kingekuwa chombo makini kinge mkamata huyo kwanza
 
Tulia anawaza uspika tu, atafanya kila faulo na hakuna wa kumbabaisha!Yule mzee wa kongwa aage kabisa hiki kibibi kimetumwa na Jiwe kuchukua kiti chake pale mjengoni! Kina Waitara na wote walionunuliwa ndio wasiwaze kabisa kupata ubunge/ udiwani! Habari yao imeisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kusema ukweli Tulia haja tulia kabisa yule mdada
 
Haihitaji kuwasha tochi, koroboi, wala mshumaa ili kung'amua kuwa Dr. Betina ni mbunge ajae wa Mbeya mijini. Sugu should've started packing his mats.
 
Back
Top Bottom