Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Akili za wauza mayai ni sawa na kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu, kama nilivyosema Watanzania tuna tabia ya kusameheana.
Mr Suggestion, labda hukuwa unafuatilia utawala wa daruso wakati huo au ulikuwa ndio kwanza unaingia, waulize wenzio waliokuwa wakongwe kwako watakwambia, mie sizungumzie Magesa ambaye nae aliishia kuwa fisadi tu, nazungumzia Mwita Mwikwabe Waitara, aliyeingia madarakani kwa kusaidiwa na mpiganaji wa wakati huo Tweve.
Naamini waliokuwa UDSM wakati huo japo wanaweza kumsamehe ni mashahidi hapa, utawala wa mwita ulidissappoint sana watu maana watu walijua wameingiza wapiganaji kumbe wameingiza mafisadi na wezi, jamaa walikuwa busy kupiga deal na kula pesa tu, kila kitu kwao ilikuwa biashara.
Msifieni kwenye mengine ila mkitaka kumsifia kuhusu urais UDSM mtaharibu maana wengi wanaufahamu utawala wake pale.
Masonjo tuwe wakweli jamaa alikuwa vizuri na aliiacha DARUSO ikiwa salama., Daruso ilikuja kuharibika alipoachiwa Magesa Mwita, ila Mwita Mwikabe alikuwa mzuri sana, na kwa kuongezea hivi sasa tuna Daraja pale Mazizini yote hii ni kutufanya wakazi wa kivule tu enjoy mazuri ya uongozi wake,
Masonjo nikili kwamba kipindi hicho nilikuwa Mwaka wa kwanza niliyashuhudia mengi kuhusu jamaa, kubaliana na mimi kwamba Daruso iliharibika enzi za Magesa kipindi ambacho biashara ya vyumba ilishamiri, all the best Mwikabe kama taarifa hizi ni za kweli basi jimbo limepata mtu na kwa wale wakazi wenzangu wa bomba mbili, kwa diwani, kwa mkolemba, butu ni wakati wenu sasa,
Huelewi chochote kuhusu Daruso kwa sababu wewe ni Form Four Failure.
Unachoandika unalishwa hapo Lumumba kwa sababu uko kwenye Payroll yao
Sifa kubwa ya Waitara ni kwamba haogopi madaraka ya mtu hata kama ni Rais wa nchi.
Anapokuwa anafuatilia maslahi ya watu wake hatishwi na yeyote.Kwa wale wote waliosoma na yeye UDSM watashuhudia haya alipokuwa Rais wao wa chuo.
Unazidi kujionyesha jinsi ulivyo mpiga debe tupu.
Hilo unaloliita payroll la Lumumba ndio payroll alilokuwepo Waitara baada ya kuanza kuramba viatu vya utawala pale Mlimani baada ya kupata urais, Mwita hana historia ya kupambana na utawala mlimani bali kujipendekeza ili mambo yake yaende, najua wa Chadema wenyewe hapa waliopo waliokuwa UDSM wakati huo wanayajua haya, ushauri wa bure usifukuwe yaliyofunikwa, kama kafanya vizuri kwenye Uenyekiti wa mtaa huko msifie huko, urais wa Daruso historia yake ni chafu,Usiyafukuwe.
Naanza kupata shaka kama kweli siongei hapa na Waitara mwenyewe, maana kama ulikuwa UDSM usingeweza kusifia kitu unachojua sio kweli.
Naona unawahi kukimbilia posho kwa sababu ofisi Lumumba leo mwisho saa saba.
Nikuhakikishie tu piga domo upendavyo lakini CCM Ukonga haina kitu.Mtashindana sana lakini kamwe hamtashinda.
Ukonga tumewachoka nyie CCM.Chadema na Ukawa ndiyo mpango mzima.
Mkuu si ungeenda tu kugombea Tarime au unamuogopa Heche? Ukonga utapata kura za wakurya tu wauza mayai.Vipi zile za jamaa yako akizomewa Mbeya uliona?
We masonjo aliyekutuma kampe na m#t#k#
Ashinde wapi mkuu kwani wauza mayai wapo wangapi UKonga?Namtakia heri Mwita ashinde maana najua kama naye anavyojua kuwa ubunge ni pesa, hivyo namtakia heri akapate hizo pesa, napenda watu wafanikiwe kimaisha, hii ni nafasi nzuri kwa Mwita kufanya hivyo
Nilichokubishia ni kudanganya watu hapa kwa historia za uongo.
Otherwise best wishes Mwita katika juhudi hizi za kutafuta maisha.
Mkuu si ungeenda tu kugombea Tarime au unamuogopa Heche? Ukonga utapata kura za wakurya tu wauza mayai.
Nimekujibu hivi kutokana na majibu yako kwangu.
Toa data kuthibotisha kauli yako tukuamini
Naye anataka kwenda kujitafutia mafao ya milioni 280.Usiwashtue watu!! maana naona anajisifia hapa mpaka kwa uongo.
Binafsi naunga mkono juhudi zake za kutafuta pesa kupitia ubunge kama alivyofanya alipokuwa rais wa Daruso, maisha ni kupambana angle zote.