Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA


Huelewi chochote kuhusu Daruso kwa sababu wewe ni Form Four Failure.

Unachoandika unalishwa hapo Lumumba kwa sababu uko kwenye Payroll yao
 

Mkuu unamwelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuukubali ukweli kwa sababu maalum.

Kuonyesha Waitara anafaa kwake yeye maana yake ni kuipokonya CCM tonge mdomoni.Kwa hiyo atabishana tu kama Kasuku.
 
Masonjo nikili kwamba kipindi hicho nilikuwa Mwaka wa kwanza niliyashuhudia mengi kuhusu jamaa, kubaliana na mimi kwamba Daruso iliharibika enzi za Magesa kipindi ambacho biashara ya vyumba ilishamiri, all the best Mwikabe kama taarifa hizi ni za kweli basi jimbo limepata mtu na kwa wale wakazi wenzangu wa bomba mbili, kwa diwani, kwa mkolemba, butu ni wakati wenu sasa,
 

Hakika kwa sasa watu wote kwenye maeneo unayotaja wakisikia jina Waitara wanaamini shida yao ya barabara imekwisha...
 
Huelewi chochote kuhusu Daruso kwa sababu wewe ni Form Four Failure.

Unachoandika unalishwa hapo Lumumba kwa sababu uko kwenye Payroll yao

Unazidi kujionyesha jinsi ulivyo mpiga debe tupu.

Hilo unaloliita payroll la Lumumba ndio alilokuwepo Waitara baada ya kuanza kuramba viatu vya utawala pale Mlimani ili maslahi yake binafsi yaende na kusahau maslahi ya waliomchagua pale Daruso. Katika urais wake wa Daruso Mwita hana historia ya kupambana na utawala pale bali ana historia ya kujipendekeza kwa watawala ili mambo yake binafsi yaende, najua wa Chadema wenyewe hapa waliopo waliokuwa UDSM wakati huo wanayajua haya, ushauri wa bure usifukuwe yaliyofunikwa, kama kafanya vizuri kwenye Uenyekiti wa mtaa huko msifie huko, urais wa Daruso historia yake ni chafu,Usiyafukuwe.

Naanza kupata shaka kama kweli siongei hapa na Waitara mwenyewe, maana kama ulikuwa UDSM usingeweza kusifia kitu unachojua kabisa kuwa ni uongo.
Sifa kubwa ya Waitara ni kwamba haogopi madaraka ya mtu hata kama ni Rais wa nchi.

Anapokuwa anafuatilia maslahi ya watu wake hatishwi na yeyote.Kwa wale wote waliosoma na yeye UDSM watashuhudia haya alipokuwa Rais wao wa chuo.
 

Naona unawahi kukimbilia posho kwa sababu ofisi Lumumba leo mwisho saa saba.

Nikuhakikishie tu piga domo upendavyo lakini CCM Ukonga haina kitu.Mtashindana sana lakini kamwe hamtashinda.

Ukonga tumewachoka nyie CCM.Chadema na Ukawa ndiyo mpango mzima.
 
We masonjo aliyekutuma kampe na m#t#k#
 

Namtakia heri Mwita ashinde maana najua kwa Mwita ubunge ni pesa, hivyo namtakia heri akapate hizo pesa, napenda watu wafanikiwe kimaisha, hii ni nafasi nzuri kwa Mwita kufanya hivyo

Nilichokubishia ni kudanganya watu hapa kwa historia za uongo.

Otherwise best wishes Mwita katika juhudi hizi za kutafuta maisha.
 
Vipi zile za jamaa yako akizomewa Mbeya uliona?
Mkuu si ungeenda tu kugombea Tarime au unamuogopa Heche? Ukonga utapata kura za wakurya tu wauza mayai.

Nimekujibu hivi kutokana na majibu yako kwangu.
 
Ashinde wapi mkuu kwani wauza mayai wapo wangapi UKonga?
 
jamani naipenda TZ, naipenda CHADEMA kuna siku niliwahi kosana na baba kisa naipenda chadema.....aiseee viva WAITARAAAAAAAAAA
 
Mkuu si ungeenda tu kugombea Tarime au unamuogopa Heche? Ukonga utapata kura za wakurya tu wauza mayai.

Nimekujibu hivi kutokana na majibu yako kwangu.

Usiwashtue watu!! maana naona anajisifia hapa mpaka kwa uongo.

Binafsi naunga mkono juhudi zake za kutafuta pesa kupitia ubunge kama alivyofanya alipokuwa rais wa Daruso, maisha ni kupambana angle zote.
 
Usiwashtue watu!! maana naona anajisifia hapa mpaka kwa uongo.

Binafsi naunga mkono juhudi zake za kutafuta pesa kupitia ubunge kama alivyofanya alipokuwa rais wa Daruso, maisha ni kupambana angle zote.
Naye anataka kwenda kujitafutia mafao ya milioni 280.

Huyu Mwita ndiyo yule alikuwa kijana wa Nchimbi? Umoja wa vijana wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…