Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA


Mkuu wangu mamakunda nikuhakikishie tu hakuna wa kumzuia mwita Waitara kuchukua ubunge Ukonga.CCM imekufa kifo cha mende kwa kushindwa kutatua matatizo ya wananchi hasa ubovu wa barabara zote za Ukonga.

Unapoona michepuko ikimshambulia hapa ujue ameiweka CCM katika hali mbaya sana kisiasa..
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo mtaachiana majimbo na Urais mtaweka mgombea mmoja kwa vyama shirika vya CCM na ACT?
 
Last edited by a moderator:
Lakini alikuwa CCM?

CCM mnanifurahisha kuchangia thread za Chadema hata kama ni Negative lakini mnasababisha ziwe juu muda wote.

Kwa niaba ya wote Asante sana Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mbona mitizamo yako ipo sawa na hicho unachokitumia hapo ndani ya Karatasi?
 
Last edited by a moderator:
vipi kwani henche amemshindwa? mkuria gani mlaini kiasi hicho mpaka kukubali kipigo kwa dogo hence?


 

MASONJO SAMAHANI NIKUULIZE, ulisoma kozi gani pale UDSM?
na ulikuwa mwaka wa ngapi wakati Waitara akiwa Rais wa DARUSO?

Je, Unaweza kutueleza wana janvi ni deal gani alizokuwa akipiga akiwa kama Rais enzi hizo?

Kwa ufupi tu nikufahamishe, Mwita Waitara ni kiongozi shupavu asiyepelekeshwa hata kidogo na husimamia vema masrahi ya anaowaongoza.

Mimi kama Rais wangi enzi hizo, aliwahi kutuongoza kuikataa test ya Dr, aliyekuwa analazimisha tuifanye Jumapili badala ya katikati ya wiki, ambapo ndio siku muafaka ya kufanya Test. Kumbuka miongozo ya chuo hairuhusu kufanya test jumamosi wala jumapili.

Test haikufanyika na Dr. yule akakasirika na siku alipoileta katikati ya wiki akawa ameikaza balaa, lakini tukaipiga na akashindwa kutukamata. Manake test ya masaa mawili liliypangwa kufanyika J2 iligeuka kuwa ya Dr 60 ( saa 1) kwenye kipindi.

Sasa kaka, mtu kama huyo asiyepnda kupindishwa kwa sheria huoni kama ndiye anayefaa. Acha kumpakazia Mtu wa watu huyo.

Mwita Nakutakia kila la kheri kaka, na ungekuwa jimboni kwangu familia yangu yote ungechukua kura zao.
 
vipi kwani henche amemshindwa? mkuria gani mlaini kiasi hicho mpaka kukubali kipigo kwa dogo hence?

Chadema haina mtu anayeitwa Henche...

BTW..Kwa taarifa yako Chadema hatugombanii madaraka bali tunagawana majukumu..Unadhani ni kama CCM wanagombania Urais watu 40?
 
Chadema haina mtu anayeitwa Henche...

BTW..Kwa taarifa yako Chadema hatugombanii madaraka bali tunagawana majukumu..Unadhani ni kama CCM wanagombania Urais watu 40?

Asante sana umemjibu vema sana huyo buku saba
 
Ada zote za manyanyaso kwenye Serikali ya Mtaa wa Kivule ni marufuku chini ya utawala wa Waitara.Wananchi wa Kivule wamemshuhudia Mwenyekiti wao akichimbua mitaro na mifereji mwenyewe bila kuringia cheo chake.
Okay, good job for starters.

Amefuta ada serikali ya mtaa. So where does he get the funding for ditch digging? Amechimba mitaro kwa mikono yake? Na barabara atajenga kwa mikono?

And then, tunaposema ameweka wazi madaftari ya financing ya mtaa, ya pesa ipi? Michango gani anayopokea? Nilidhani hakusanyishi hela.
 
haa haa hongera yake. lakini chadema waangalie huu utaratibu wa hovyo. yaani jamaa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huku anautaka ubunge. hilo sio sawa kamwe. awapishe wanacdm wengine kwenye ubunge...
 

Nashauri makada wa chadema waende mara moja kutoa elimu maeneo yote uliyoyataja nawe ukiwa mmoja wao. Msiwasubiri hawa washirika wengine kwani hawana mtaji huko. Hakikiaheni vijana wote wameandikishwa na iwepo timu ya kuwahimiza na ikibidi kuongozana nao mguu kwa mguu siku ya kupiga kura. Ni wajibu wenu pia kulinda kura hadi atangazwe mbunge.
 
Chadema haina mtu anayeitwa Henche...

BTW..Kwa taarifa yako Chadema hatugombanii madaraka bali tunagawana majukumu..Unadhani ni kama CCM wanagombania Urais watu 40?
acha kujidanganya wewe. nani asiyejua vita ya mwita mwikabe na heche? tumia akili kuongopa, fa'la wewe.
 
Huelewi chochote kuhusu Daruso kwa sababu wewe ni Form Four Failure.

Unachoandika unalishwa hapo Lumumba kwa sababu uko kwenye Payroll yao

Mkuu mjibu kwa hoja ikibidi muombe akupe ushahidi lkn kumponda haitasiadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…