Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Hiyo itakuwa safi sana, kila anayesimama piga maswali akishindwa kujibu akileta uccm wake shusha jukwaani mpe na kipigo kidogo akawaonyeshe ofisi za ccm na mkewe.

Shubamit! Kama wananchi wamechoka hakuna namna
 
Jamaa anajiona mjuaji sana, anaamini kila mahali anaweza peleka ile sura yake!
 
Hongereni sana wananchi wa MAHINA, wajinga wajinga kama hao ni kuwapopoa kabisa.
hao sio wa kuwapa Hongera wamewahi kuua mtu hivi hivi miaka kadhaa nyuma,hii tabia yao itakuwa na itakuja kuleta madhara,tafuta nyuzi humu za miaka ya nyuma utagundua wana ukorofi

Wao huamini katika kupigana mwishowe walisababisha vifo vya watu zaidi ya watatu siku moja
 
😂😂😂😂😂Wangempa kichapo tu cha mbwa mwizi huyu mhuni.

 
Bado wananchi wanawasubiri kwenye mikutano ya hadhara
 
Kwahiyo Waitara asingetoka baruti saa hizi mtaani kwake wangeanza maombolezo?!
 
kuna fukuto kubwa sana nchini tanzania watu wamechoka ila wameamua kukaa kimnya, siku moto ukiwaka kidogo ndio watajua kwa nini watu walikuwa kimnya
 
Yote hayo ni vita ya ubunge Tarime vijijini. Bwire katia nia hivyo anaonekana threat kwa Watara. Hivi kwa nini Watara anakimbia Ukonga ?Huko Tarime vijijini hata kwenye kura za maoni hatapita.
 
Hujaelewa maada. Waitara alikuwa anampinga Bwire. Ndo wafuasi wa Bwire wamekuja juu.
 
Unachonifurahishaga mkuu, ni pale unapomalizia na kibwagizo cha Maendeleo hayana Chama, basi huwa nachekaga kweli aisee 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…