Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Manka mada ni kukimbia kipigo cha mbwa mwizi!
Maelezo yako unasema alikuwa anamtetea Bwire,which is not. Hujui kuwa Bwire katia nia Tarime vijijini ?
20200527_194824.jpg
 
Mwita Waitara alikwenda kukagua ujenzi wa Zahanati ya maina na wananchi wakamlalamikia mkurugenzi wa Allience ambaye ni diwani mh Bwire.

Mwita Waitara alijaribu kumtetea Bwire kuhusu kuvamia kiwanja cha wazi ndipo wananchi wenye hasira wakaanza kumxomea, kumkejeli na kumtukana na wengine wakaanxa kumsogelea ili wampe kichapo ndipo Naibu waziri akatoka mkuku huku akisindikizwa na mayowe ya huyo...... huyo...... huyoooooooo.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Duh hatare..
Lakini waacha akipate pate nae huyu jinga sana
 
Hii imetengenezwa ufipa

Waitara pombe inampoteza
 
Muhun tuu wewe MATAGA Unacheka nn wewe
Powa mkuu, siasa si ugomvi mkuu, basi itoshe kusema, Tumeunganishwa kuwa Watu wa nchi moja bado utabaki Mtanzania mwenzangu haijalishi tutatofautiana kiitikadi
 
Back
Top Bottom