kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Naona mambo yanaelekea kuzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mambo yanaelekea kuzuri
Wapelekeeni pambio sasa ili waendelee kusifu na kuabudu, maana hamtaki waonyeshe uhalisia wa mamboHata Mimi nashangaa habari ile kupewa kipaumbele,watu wenyewe hata 20 hawafiki.Hawa Itv wakati mwingine huwa wanaonesha rangi yao halisi,wale wana kamlengo fulani kakichademachadema mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu tuliwaona.Itv jirekebisheni,watz tunawashangaa.
We mbunge kyela mbona ameondoka kawaida tu.?1461082[/ATTACH]
Hiyo itakuwa safi sana, kila anayesimama piga maswali akishindwa kujibu akileta uccm wake shusha jukwaani mpe na kipigo kidogo akawaonyeshe ofisi za ccm na mkewe.
Shubamit! Kama wananchi wamechoka hakuna namna
Kwanini unashangaa Mabere Makubi kuriport hilo tukio ilhali alikuwepo kwenye msafara? Au unataka awe amekula Per Diem ya ITV ya bure tu arudi kimya kimya?Itv wamekosa habari za kuripoti, ile haikuwa issue ya kuripoti labda watakuwa na lao jambo.Waitara alikwenda kukagua zahanati mahina na ndipo baadhi ya wakazi wakatoa malalamiko kuhusu suala la ardhi linalomhusu meya bwire anayemiliki shule za alliance na wakazi hao.Kesi iko mahakamani ndipo Waitara akawaomba wasubiri mahakama itaamuaje,ndipo kukatokea vurugu kidogo.Watu wenyewe hata 20 hawafiki na mimi nilikuwepo eneo la tukio.Mabere Makubi ndiye aliyeiripoti ile taarifa akiwa kwenye msafara wa naibu waziri,lilikuwa jambo dogo tu nashangaa Itv wamelikuza,ndio tatizo la vyombo vyetu vya habari umbeaumbea ndio mwingi.
Mkuu mengine muwe mnanyamaza tu. Maana huku kujitoa akili kwenu mnatia aibu hata famiia zenu kama mnazo maana ionaonekana wengi ni njaa tu inawatuma.Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?
Sasa mbona mnalalamika hii habari kuripotiwa???Kama vile mbowe alivyoshushwa kule Hai moshi?
Mbaya Sana hii,atua zichukuliwe kwa hao wanaotaka kupigana na serikali
Kule Taaarime!Bado Kanda maalum inamngojea alete zake! 😅
......Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?
Wale sii wahuni walibebwa wamelewa wakaletwa? Tunataka wenye nyaraka kama hapo kwa WaitaraKama vile mbowe alivyoshushwa kule Hai moshi?
ITV waliorusha video ya tukio na Wewe usiye na ushahidi tumwamini nani?Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?