Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Hiyo ndito hali hal
Naibu waziri wa Tamisemi anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.

Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.

Chanzo: ITV Habari
Hiyo ndoyo hali halisi ya CCM bila policcm na ma lori ya kubeba washabiki
 
Hiyo ni rasharasha, masika inaenda kunyesha October.

Mwananchi mmoja amesikika akisema: "tunajua kilichomleta, ametumwa kuja kuvuruga na hatovuruga"

Watanzania wameshachoka kuchezewa akili na hawa watu.
Mwingine kasema hivi huyu nae ni ccm
 
"Upumbavu hukaa ndani ya roho, nao huondolewa kwa mapigo" wampige tuu kwa maana hakuna njia nyingine ya kuondoa upumbavu wake, ni lazima apigwe! (Alisikika mstaafu mmoja akisema)
 
sasa nyinyi ufipa mbona akilizenu zinamakengeza kama mwenyekiti wenu.
itv ni kituo cha habari.tanzania kuna uhuru wa habari mkubwa mno.sasa kwa nini mnaleta habari za uzushi ?
Mwenyekiti wako ana mmbonge wa komwe 😁 ukilicheka komwe uhujumu uchumi unakuhusu 😁😁😁😁😁😁😁😋😁
 
Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?
Screenshot_20200527-220957.png

Kama ulikuwepo na hukuona basi akili huna.
 
Wapiga kura wana hasira sana.
Uchaguzi utakua tough.
 
akatoka mkuku
Mbona huo mkuku hauonekani kwenye hiyo video clip? Ila ukweli huyu Bwire hafai kabisa na udiwani hatimaye umeya aliutafuta kwa ajili ya kujinufaisha yeye binafsi. Hiyo kesi yake mahakamani ambayo imechukua miaka kibao serikali inapaswa kuimulika. Waitara alifanya kosa kubwa kujaribu kumtetea huyu Bwire. Wananchi wanamjua vizuri huyu jamaa. Hayo majengo yake yabomolewe tu irrespective ya hiyo court injuction aliyoiwekwa kwani haiwezi ikawa ya kudumu. It has expired.
 
Itv wamekosa habari za kuripoti, ile haikuwa issue ya kuripoti labda watakuwa na lao jambo.Waitara alikwenda kukagua zahanati mahina na ndipo baadhi ya wakazi wakatoa malalamiko kuhusu suala la ardhi linalomhusu meya bwire anayemiliki shule za alliance na wakazi hao.Kesi iko mahakamani ndipo Waitara akawaomba wasubiri mahakama itaamuaje,ndipo kukatokea vurugu kidogo.Watu wenyewe hata 20 hawafiki na mimi nilikuwepo eneo la tukio.Mabere Makubi ndiye aliyeiripoti ile taarifa akiwa kwenye msafara wa naibu waziri,lilikuwa jambo dogo tu nashangaa Itv wamelikuza,ndio tatizo la vyombo vyetu vya habari umbeaumbea ndio mwingi.
 
Back
Top Bottom