Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Something is fishy,
Meya Boniface aliandika kwenye mtandao kuwa hatagombea tena udiwani.
Siku chache baadae Chadema inatuma barua kwa Mkurugenzi ya kumfuta kazi Boniface, lakini Boniface anakuja na mtu aliyesadikiwa kuwa ndie alieandika barua na kukanusha kuwa sahihi ni ya kugushi.
Hapa kuna mchezo ndani ya Chadema yenyewe.
 
Katangaza kutogombea udiwani au kajivua uanachama? Unachosema hapo huna tofauti na Waitara, wote mnatazama kwa kuegemea itikadi za kisiasa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My bet: Nadhani Jacob ana mpango wa kugombea ubunge Ubungo. Kitakachotokea ni kuwekewa pingamizi kwamba sio mwanachama halali wa chadema. Halafu mkurugenzi atatoa ile barua fake kuonyesha jamaa alishafutwa uanachama.
Siasa chafu hizo.
 
Hizi ni comedy za kuua so ya hotuba mbovu za boss wao.
Turudi kwenye mada achana na kigagura uyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One day tutakuja kulia na kusaga meno,hii Amani fake tunaichezea sana patakuja kuchimbika hii nchi na majirani watatuacha tumalizane maana sisi tunajifanya wacha Mungu kumbe fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No wonder maambukizi yanaongezeka baada ya sala za kitaifa maana tumeiacha njia ya haki.
 
My bet: Nadhani Jacob ana mpango wa kugombea ubunge Ubungo. Kitakachotokea ni kuwekewa pingamizi kwamba sio mwanachama halali wa chadema. Halafu mkurugenzi atatoa ile barua fake kuonyesha jamaa alishafutwa uanachama.
Siasa chafu hizo.

..amesema anaweza pia kugombea KYELA ambako ndio kwao. Na amesema jimbo hilo si la wapinzani hivyo analitamani zaidi.
 
Waitara ni waziri wa Hovyo kupata kuwepo Tanzania ni mtu mwenye IQ ndogo kupita hata ya Le mutuz kubwa jinga
 
Kuna nini kinagombewa wakati uhai wa hilo baraza la madiwani umefikia ukingoni?
 
No wonder maambukizi yanaongezeka baada ya sala za kitaifa maana tumeiacha njia ya haki.
Shatani yupo CCM kaamua watu wafurike misikitini makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Kwani hamna kazi zingine zaidi ya umeya? Mbona sisi tunalima?
Kazi zingine zipo lakini kuachishwa umeya kishetani kijinga kwa barua za kugushi ni haki? Kuhujumu umeya kisa kuna kazi zingine ni halali?
 
Kuna nini kinagombewa wakati uhai wa hilo baraza la madiwani umefikia ukingoni?
CCM wanataka wamtoe meya ili waweza kuiba kasima pesa zilizosalia kwenye bajeti ya manisipaa, wanajua akiwepo meya ni vigumu kuiba pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…