Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Naomba Mungu akupiganie tofauti zetu za kisiasa zisitawale kuugua, matatizo ni ya kila mtu. Naomba Mungu akupiganie nimeingiwa na huruma sana kusikia unapigania maisha yako Mh. Pona haraka rudi kwenye majukumu yako. Mungu naamini atakuponya pia naomba wana jf ambao uwa nawakosea kwa hoja zangu hapa mnisamehe mimi sio mkamilifu pia.
Naunga mkono hoja,
Waitara Get Well Soon!.
Japo hapo mwanzo hali ilikuwa hivi
Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?
Lakini sasa tumebadilika na hata shetani mwenyewe mwanzo alikuwa malaika, hivyo akiacha ushetani anarejea kuwa malaika!
P
 
Naomba Mungu akupiganie tofauti zetu za kisiasa zisitawale kuugua, matatizo ni ya kila mtu. Naomba Mungu akupiganie nimeingiwa na huruma sana kusikia unapigania maisha yako Mh. Pona haraka rudi kwenye majukumu yako. Mungu naamini atakuponya pia naomba wana jf ambao uwa nawakosea kwa hoja zangu hapa mnisamehe mimi sio mkamilifu pia.
Mmmmmhhhh,.. anyway poa lkn
 
Kwani anaumwa nn hadi raisi wa Twitter anamuombea akaungane na nkurunziza
 
Kama alikuwa anasshindwa hata kuongea kwa simu basi hayo ni matatizo ya upumuaji tu au ni Deportivo la Corona

Aacha ulevi kipindi hiki anachotumia dawa
 
Back
Top Bottom