Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Ni kama anatoa msisitizo tu maana kule tweeter kila jambo limewekwa wazi
Sasa haja gani kuleta mafumbo?,kama hujiamini bora uache kubreaknews za aina hii,maji ukiyavulia nguo huna budi kuoga,sio unafika bafuni unanawa uso na kutoka
 
Jino kwa jino
Ili kupunguza maneno na vilimilimi vya watetezi wa CCM mitandaoni ni vyema uweke wazi jina la mtu anayeumwa na mahala alipolazwa hapo utakuwa umewaepuka wakorofi wa CCM, toa ufafanuzi wa kina inasaidia hata sisi wapinzani kwenda nao sambamba bampa to bampa
 
Mkuu Acha kujidanganya,hata uwe unaamka asubuhi na kwenda kugawa pesa kwa watu tambua kuwa wako watakaokuchukia na wapo watakao kupenda,ishi kwa kadiri uwezavyo na usiishi kwa kuigiza ili kuwafurahisha watu.

Mtu kuombewa kifo sio jambo la kusitaajabisha,usikute hata mtoto wako wa kumzaa akawa anakuombea ufe .

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kama point yangu hukuielewa ungeisoma tena umejibu haraka sana, nimesema wanaoumwa ni wengi kwa nini watu wanakuwa concerned sana na baadhi ya watu simply waliwakera kwenye mambo ya kisiasa.

Sitaandika mengi nategemea utajiongeza
 
Ingawa uwa sifurahishwi na siasa zako.

Naomba Mungu akupiganie tofauti zetu za kisiasa zisitawale kuugua, matatizo ni ya kila mtu. Naomba Mungu akupiganie nimeingiwa na huruma sana kusikia unapigania maisha yako.

"I have decided to stick with love hate is too geat a burden to bear"

"When you are right you cannot be too radical when you are wrong you cannot be too conservative"

I must evolve for all human conflict a method which reject, Revenge, Aggression and Retaliation. The foundation of such a method is LOVE.

Mh. Pona haraka rudi kwenye majukumu yako. Mungu naamini atakuponya

Pia naomba wana jf ambao uwa nawakosea kwa hoja zangu hapa mnisamehe mimi sio mkamilifu pia.
 
Ilianza kama vile yeye ndiyo anaenda kisha mwishoni imekua kama wewe ndiye unaenda vile.
 
Back
Top Bottom