mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kweli mkuu,hata Mbowe/Lissu walivyoumizwa walifurahia sana.Hawa huwa ni mabingwa wa kushabikia wenzao wanapoumwa kana kwamba wao hawawezi kuumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,hata Mbowe/Lissu walivyoumizwa walifurahia sana.Hawa huwa ni mabingwa wa kushabikia wenzao wanapoumwa kana kwamba wao hawawezi kuumwa
Pole kwa kuumwa M.Waitara...View attachment 1479030
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
TayariLeta habari kamili Chief!
HahahaTukisema kuwa nyie vijana wa ufipa ni zaidi ya misukule dunia iwe inatuelewa.Hivi utakalia kunusanusa habari za yule chizi kigogo pamoja na akili yako au dishi limeyumba nini.Waite manyumbu wenzako basi msherehekee huu ujinga ulioandika,hapa umeharisha tu ni uharo mtupu.
Bora ungeendelea kuuchapa tu usingizi. Watu tunaandika humu tukiwa na uhakika mkuu.Tukisema kuwa nyie vijana wa ufipa ni zaidi ya misukule dunia iwe inatuelewa.Hivi utakalia kunusanusa habari za yule chizi kigogo pamoja na akili yako au dishi limeyumba nini.Waite manyumbu wenzako basi msherehekee huu ujinga ulioandika,hapa umeharisha tu ni uharo mtupu.
Kuna mmoja alisema mtoto wa mbowe anaumwa corona, unamkumbuka mkuu?Mods hamuoni hii takataka
Matanga mnapanic nini sasa?Aibu, kupenda kushabikia habari za uzushi zinazobandikwa twitter na mtu usiyemjua, maana kama habari ni ya kweli anapaswa kujitambulisha.
Kama kweli anaumwa wewe yakuhusu nini au ndio ushabiki wa kijuha na kitoto! Watu wazima hovyo!Umemjibu ipasavyo.
Umbea utakuua wewe, husikii?Huna hoja!!Sasa iweje ujadili umbea?
Alionekana wiki iliyopita akigombana na wasukuma wa Mwanza.Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
Ngoja niwape connection wajuba washone suti nyeusi, uelekeo Ni Mara this time.Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
Duuh muujiza kama ule wa Pierre?
😆😆Wacha kuhusisha bange ni watu wa kijinga