Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

Mkuu ebu tuambie na faida kwa mtanzania, mkulima,mfanyabiashara nk
 
Filimbi ya Uchaguzi tayari..imepilizwa? Watu 14000 sio mkusanyiko?
Eti nipige kura...ujinga huo
 
Ningemshauri Mwita Waitara agombee Tarime Mjini sio Vijijini.
 
Wapinzani wanauwawa ,Maalim Seif alishanda Uchaguzi huko Zanzibar, Ben Saanane na Mawazo waliuwawa...mnataka tusifie nini..Ilisikika sauti ya Waitara Bungeni akiwa CHADEMA...Huyu ametutuhumu ccm kuuwa na kumnyanganya ushindi mgombea wa CUF...
Badilisha santuri, hii imeshachosha baada ya kurudiwa rudiwa mara nyingi.
 
Badilisha santuri, hii imeshachosha baada ya kurudiwa rudiwa mara nyingi.
Wewe ni mpuuzi.. Jinai inakufa? Ipo siku atatueleza jinsi gani CCM tulimnyanganya ushindi Maalim Seif,atueleze ni lini na wapi wanaccm walimuua Ben 8 na Mawazo?.Apo tu ndiyo tunataka alete ushaidi .
 
Wewe ni mpuuzi.. Jinai inakufa? Ipo siku atatueleza jinsi gani CCM tulimnyanganya ushindi Maalim Seif,atueleze ni lini na wapi wanaccm walimuua Ben 8 na Mawazo?.Apo tu ndiyo tunataka alete ushaidi .
Huo wimbo endeleeni kuucheza hapo ufipa. Mkichoka mtaacha.
 
Waitara angesahau tu kuhusu swala la ubunge Tarime hawezi kumng'oa Heche. hizo pesa anazotumia kuharibu Tarime angewekeza pengine hata kwenye biashara ingemlipa kuliko kusaka ubunge ambao hawezi kupata.
 
kwan Heche ana hati miliki ya hilo jimbo?
 
hana lakini mara mia heche kuliko waitara. heche alichofanya kinaonekana waitara kafanya nini Ukonga?
Hakuna akiwa chadema Hakuna akiwa ccm,ukonga ndilo jimbo lenye barabara mbovu kuliko yote dar,mvua zikinyesha aliye nyumbani ubaki nyumbani aliye nje ubakia nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…