Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo?Huo wimbo endeleeni kuucheza hapo ufipa. Mkichoka mtaacha.
Waitara atakua anajua ukweli huu kama ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo?Huo wimbo endeleeni kuucheza hapo ufipa. Mkichoka mtaacha.
Juzi.Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo?...
heche kafanya nini na nini mkuu?hana lakini mara mia heche kuliko waitara. heche alichofanya kinaonekana waitara kafanya nini Ukonga?
CCM ilishakaribiaga kufa kabisa 2015, lakini sijui walitumia uchawi gani akina Lisu wakakubali kununuliwa - IKAFUFUKAMtahangaika sana, ila CCM itabaki kuwa ni zilipendewa!!!