Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 3,406 Reaction score 2,521 Apr 6, 2020 #61 Magonjwa Mtambuka said: Huo wimbo endeleeni kuucheza hapo ufipa. Mkichoka mtaacha. Click to expand... Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo? Waitara atakua anajua ukweli huu kama ni kweli?
Magonjwa Mtambuka said: Huo wimbo endeleeni kuucheza hapo ufipa. Mkichoka mtaacha. Click to expand... Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo? Waitara atakua anajua ukweli huu kama ni kweli?
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Apr 6, 2020 #62 Hivi si ni sirikali ndiyo imepiga marufuku mikusanyiko? Sent using Jamii Forums mobile app
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Apr 6, 2020 #63 Bishweko said: Ni lini tuhuma za mauaji zilikua wimbo?... Click to expand... Juzi.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Apr 6, 2020 #64 Brodre said: hana lakini mara mia heche kuliko waitara. heche alichofanya kinaonekana waitara kafanya nini Ukonga? Click to expand... heche kafanya nini na nini mkuu?
Brodre said: hana lakini mara mia heche kuliko waitara. heche alichofanya kinaonekana waitara kafanya nini Ukonga? Click to expand... heche kafanya nini na nini mkuu?
Baba Ndumbwi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 447 Reaction score 712 Apr 6, 2020 #65 Kwahiyo ile amri ya mwanasiasa kufanya siasa jimboni kwake pekee haimhusu Waitara Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ile amri ya mwanasiasa kufanya siasa jimboni kwake pekee haimhusu Waitara Sent using Jamii Forums mobile app
C Chintu JF-Expert Member Joined Feb 4, 2011 Posts 5,480 Reaction score 3,526 Apr 6, 2020 #66 Salary Slip said: Mtahangaika sana, ila CCM itabaki kuwa ni zilipendewa!!! Click to expand... CCM ilishakaribiaga kufa kabisa 2015, lakini sijui walitumia uchawi gani akina Lisu wakakubali kununuliwa - IKAFUFUKA na leo inatutesa tumebaki tunashinda polisi, magereza na mahakamani.
Salary Slip said: Mtahangaika sana, ila CCM itabaki kuwa ni zilipendewa!!! Click to expand... CCM ilishakaribiaga kufa kabisa 2015, lakini sijui walitumia uchawi gani akina Lisu wakakubali kununuliwa - IKAFUFUKA na leo inatutesa tumebaki tunashinda polisi, magereza na mahakamani.
L lukoma JF-Expert Member Joined Jul 1, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,246 Apr 6, 2020 #67 Mkuu hapatoshi hiyo nyomi balaa!! Naona watu hakuna hata pa kusimama!