Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

UPUUZI MTUPU! Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini na ndiyo mnasababisha hii Nchi kuangamia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
Makonda alikuwa mkuu wa mkoa wakati uchaguzi unafanyika? Huu ni uthibitisho kuwa wewe ni muongo,acha kukariri uongo
Makonda alikuwa RC wa Dar wakati Waitara amehama Chadema na kujiunga na CCM kisha kufanyika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ukonga. Pitia kumbukumbu zako kisha uje tena na useme nani muongo kati yetu.

Vv
 
Cha kushangaza ni kwamba hata baada ya Mwita kuondoka Chadema imeendelea kuwa imara.
Imebaki imara kivip sijui!?
Wamepata asilimia ngapi ya kura za Urais
Wana viti maalum wangapi
Imebaki na Wabunge wangapi
Madiwani wangapi
Mameya wangapi
Inaongoza halmashauri ngapi
Ina wenyeviti wa mitaa, vijiji na vingoji vingapi
Inaongoza serikali ya vijiji vingapi..

Anyway huko tuseme kulikuwa na figisu unazumziaje WANACHAMA.. toka ameondoka waitara mmepokea WANACHAMA wapya wangapi zaidi ya kupoteza
Au viongozi muhimu walohamia CDM ni wangapi Ukilinganisha na waliohama..
Au Kuna anya tangible resources zilizoongezeka hapo ufipa baada ya Waitara kuondoka!!!
Au labda vigezo vyangu sio sahihi wewe unapima vip kuimarika kwa chama cha kisiasa!???
 
wacha weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…