Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nilihofu sana kuhusu usalama na amani. Sikujua watu wa mara wana busara kiasi hicho. Nilihofu pambano la mura hawa inaweza kuvunja amani maana heche na waitara hakika ni wababe na miamba ya kikuria. Kumbe wakakubaliana wapambane kwa amani.Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.
Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama,ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema
Zikabaki stori za chuki na vijembe,Oo huyu jamaa ni mlevi,hana lolote,alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?
Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua,maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.
Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema,maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.
My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa magenius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz,hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
Sasa kama alishindwa kihalali unategemea nini?Binafsi nilihofu sana kuhusu usalama na amani. Sikujua watu wa mara wana busara kiasi hicho. Nilihofu pambano la mura hawa inaweza kuvunja amani maana heche na waitara hakika ni wababe na miamba ya kikuria. Kumbe wakakubaliana wapambane kwa amani.
Kwa kweli nchi yetu watu wanaenzi amani. Kama miamba hii miwili ilipambana na mmoja kukubali kushindwa bila amani kuvunjika wanastahili kusifiwa sana kwa hilo.
Akili yako ni kwaajili ya matumizi yafuatayo;
1. Kuutambua ubwabwa na kuula
2. Kumtambua sato na kumla
3. Kutambua kitanda na kuweza kulala.
4. Kukitambua choo na kukitumia.
Basi.
Mataga ndio nini? Mtu ambae ana akili timamu hawezi kupost upuuzi kama huu.
Hivi wewe upo sawa kiakili? Bia yetu ndio nani?
Kwa akiri zako alishinda kwa njia ipi? maana sis tuliopo tarime tunajua tulimpa kura! Kwaiyo hata kama angebak ukonga huyo mgombea wa chadema angemshinda.Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?
Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?
Nashukuru kwa kulibomokea ukweli hili fala la kisiasa.Kwa akiri zako alishinda kwa njia ipi? maana sis tuliopo tarime tunajua tulimpa kura.. !!
Kwaiyo hata kama angebak ukonga huyo mgombea wa chadema angemshinda.?
Kuhama jimbo ni kawaida sana hasa kwa wanasiasa nguli na wanaojiamini , mfano walihama akina zitto, mnyika nk na wakashinda..!
Kama hujuwi nibora ukaficha ujinga wako kuliko kuonekana ki
tuko mbele ya wanaume
Uimara wake uko wap? Kupoteza wabunge ndo kuimarika..duh!!Cha kushangaza ni kwamba hata baada ya Mwita kuondoka Chadema imeendelea kuwa imara.
Lete ushahid wa 1.5t kama sio propaganda za kwenye kahawaKama wananchi wameikataa cdm kwa ajili ya ufisadi wa 8b, imekuwaje aliyeiba 1.5t ashinde?
Lete ushahid wa 1.5t kama sio propaganda za kwenye kahawa
Hiv ukiwa opposition na akiri inakuwa hopples, jimbo la tarime lina Kata 24 kata 3 ndo walishinda chadema, kata 21 zikabak Ccm za hizo kura ubunge za kushinda zilitoka wap?yaani kwa akili yako finyu unaamini waitara alishinda kwenye uchaguzi?
Pengine hakukimbia bali shoka lilipelekwa kwenye mti mgumu zaidi.Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?
Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?