Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na sarakasi nyingi sana; tunajua hata pale Ukonga alishinda kwa hisani ya Makonda na Mambosasa.

Vv
 
Makonda alikuwa mkuu wa mkoa wakati uchaguzi unafanyika? Huu ni uthibitisho kuwa wewe ni muongo,acha kukariri uongo
 
Watu wanabeba ubongo we akili ila wewe fuvu imejaa mavi
 
Cha kushangaza ni kwamba hata baada ya Mwita kuondoka Chadema imeendelea kuwa imara
Are you sure...hahahaha..muulizeni Dr Slaa awape analysis mujarab...mtakaa wote chini...hapo ndio mtajua kweli kachumbari si sawa na mboga
 
Keep on dreaming, tangu ameondoka dr slaa ni miaka 5 lakini chadema bado ipo na imeingia kwenye mioyo ya watanzania wengi
Let me tell you, mnaweza mkawanunua wapinzani wote, mkawaua chadema wote, ila a simple calculation ni kwamba upinzani ni imani sio watu, ni kama dini
 
Do you smoke ganja?
 
Do you smoke ganja?
Hii ndio aina ya mataga, badala ya kubishana kwa hoja unauliza maswali yasiyo na msingi, come up with something

Chadema haitakufa, mwambie aliekutuma kwamba chadema haitakufa, utanikumbusha hili 2025
 
Keep on dreaming, tangu ameondoka dr slaa ni miaka 5 lakini chadema bado ipo na imeingia kwenye mioyo ya watanzania wengi
Let me tell you, mnaweza mkawanunua wapinzani wote, mkawaua chadema wote, ila a simple calculation ni kwamba upinzani ni imani sio watu, ni kama dini
Hahaha Sasa kwanini wapinzani wananunulika...tatizo Ni Nini...kiufupi unasema usimwamini mpinzani kwa sababu anaweza nunulika wakati wowote...au siyo..this means hawafai kupewa nchi wakati wowote kwa sababu kwa tamaa zilezile wanaweza uza nchi, Mali zake na watu wake wote...
 
Hii ndio aina ya mataga, badala ya kubishana kwa hoja unauliza maswali yasiyo na msingi, come up with something

Chadema haitakufa, mwambie aliekutuma kwamba chadema haitakufa, utanikumbusha hili 2025
Jomba kutoka wabunge 50 mpaka mbunge 1 bara ,,Kuna uhai hapo jomba.. shame on you...
 
Cha kushangaza mwenyekiti amewapa wapinzani nafasi ndani ya baraza la mawaziri akawaacha wafia chama, inafikirisha sana, ni direct kwamba anawaamini wapinzani kuliko wafia chama
 
Jomba kutoka wabunge 50 mpaka mbunge 1 bara ,,Kuna uhai hapo jomba.. shame on you...
Ninkweli ni aibu kilichotokea uchaguzi huu, maana mpaka leo hata matokeo tume wanaogopa kuyabandika

Kwa kifupi ni mambonya aibu kwa kweli
 
Hii ndio aina ya mataga, badala ya kubishana kwa hoja unauliza maswali yasiyo na msingi, come up with something

Chadema haitakufa, mwambie aliekutuma kwamba chadema haitakufa, utanikumbusha hili 2025
Mataga ndio nini? Mtu ambae ana akili timamu hawezi kupost upuuzi kama huu.
 
Nimeshangaa mbona huu uzi wa kiboya una wachangiaji wengi sana, kumbe ni huyu kibuyu alieanzisha anajibu kila comment, jf imepatwa.
 
Back
Top Bottom