Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.
Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba huyu mtu au Tulia au Gwajima walishinda uchaguzi kwa kupata kura nyingi zaidi ya wapinzani wao? Hata wao wanaujua ukweli.
 
Nasema hivi, ifanyie kazi vizuri hii Id ya october, lakini ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Kuifanyia vizuri ni pamoja na kueleza ukweli namna Mwita alivyoisambaratisha Chadema. Chadema ilishindwa uchaguzi hata kabla ya kura kupigwa.
 
Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba huyu mtu au Tulia au Gwajima walishinda uchaguzi kwa kupata kura nyingi zaidi ya wapinzani wao? Hata wao wanaujua ukweli
Kama anguko la Cdm lilikuwa wazi hata kabla ya Oktoba ulitegemea nini?
 
Kuifanyia vizuri ni pamoja na kueleza ukweli namna Mwita alivyoisambaratisha Chadema. Chadema ilishindwa uchaguzi hata kabla ya kura kupigwa.

Ni kweli kabisa maana tiss na polisi tayari walikuwa na matokeo, tume ya uchaguzi ilikuwa ni kufuata tu maagizo.
 
Yaani wale wasio na misimamo ndiyo wanaitwa mashujaa na wale wenye misimamo wanaitwa wasaliti hii ndiyo Tanzania 😂😂
 
Ni kweli kabisa maana tiss na polisi tayari walikuwa na matokeo, tume ya uchaguzi ilikuwa ni kufuata tu maagizo.
Hapana dogo, hata kabla ya uchaguzi watanzania walikuwa wameishaikataa Cdm,hasa baada ya ufisadi wa bil 8 kufichuliwa. Vipi na wewe ulipata mgao?
 
Hapana dogo, hata kabla ya uchaguzi watanzania walikuwa wameishaikataa Cdm, bhasa baada ya ufisadi wa bil 8 kufichuliwa. Vipi na wewe ulipata mgao?
Kama wananchi wameikataa cdm kwa ajili ya ufisadi wa 8b, imekuwaje aliyeiba 1.5t ashinde?
 
Unatakiwa uende mahakamani kama katiba inaruhusu. Hata hivyo hakuna mahakama, bali kuna majengo ya mahakama yanayosimamiwa na vibaraka wa ccm.
Naomba tujadili namna waitara alivyosambaratisha ngome za Chadema.
 
Choo kikiwa mbali ni tatizo ukiwa na tatizo la tumbo!
 
Mjinga huyo
Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!

Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?

Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
 
Back
Top Bottom