Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Sio kweli, bro kila siku serikali inakosolewa wala hakuna tabu.

Labda serikali ya Kikwete. Umewahi kusikia mjadala wowote kwenye vituo rasmi vya habari kama TV, Redio nk wakijadili against serekali hii? Tuko tunaona wala sio tujahadithiwa boss. Ni vyombo vingapi vya habari vimefungiwa na kupigwa faini kwasababu ya kumkosoa yesu?
 
Uwezo wenyewe wakuingia msituni huna kabisa kama hata kuingia barabarani umeshindwa itakuwa msituni ambako kuna simba wakali??!!

Ni kweli, kwakuwa huo uwezo hatuna ndio maana kura za tiss na jeshi la polisi zikatumika kuwatangaza ccm washindi.
 
Labda serikali ya Kikwete. Umewahi kusikia mjadala wowote kwenye vituo rasmi vya habari kama TV, Redio nk wakijadili against serekali hii? Tuko tunaona wala sio tujahadithiwa boss. Ni vyombo vingapi vya habari vimefungiwa na kupigwa faini kwasababu ya kumkosoa yesu?
Ipo wazi kamanda,mnatakiwa mkosoe kwa staha,kama lugha ya uchochezi itatumika,hapo chochote kinatokea.
 
Mwanachama alikiisha ondoka chamani hatakiwi kutiliwa maana tena, sababu sio wako hasa wenye kuhamia CCM mara nyingi huwa hawarudi.

Lakini kuna wanachama walioondoka waliniuma kwa michango yao walioitoa kwenye chama.

Sio wote walio kihama chama walikuwa hovyo kabisa, wapo ambao kila chama watakacho kwenda watatoa michango ya kukisaidia chama.
Na wapo ambao hawahami tunao lakini ingetokea wamehama chama hakito sikia upungufu kwa vyovyote vile.
 
Nini msimamo wako?
 
Huyu ni mpuudhi Bia Yetu kaja na ID nyingine ni wa kumpuudha
Hii ndio itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye post zake
 
Kamwe mtu akishindwa hubaki na Hasira zisizoisha moyoni, matokeo yake humtukana matusi hata mwl wake akionesha yeye ni mjuvi kumshinda mwl wake, ndiyo hao Chadema!
 
Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!

Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?

Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
Pamoja na matusi lakini heche alikula kichapo cha mbwa koko kutoka kwa waitara.
Sisi tulio na heche tunjua alivyokubaliana na matokeo, yeye mwenyewe anajua nguvu ya umma ilivyo mpindua na hana ubishi sasa wewe nyumbu utoke msituni uje kujua ya tarime?
 
Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!

Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?

Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
Kitendo cha kuhama Ukonga na kwenda Tarime kuivuruga ngome ya Cdm ndio kujua kubadili upepo wa kisiasa.
 
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.

Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama,ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema walihamia Ccm.

Zikabaki stori za chuki na vijembe,Oo huyu jamaa ni mlevi,hana lolote,alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?

Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua,maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.

Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema,maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.

My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa genius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz,hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
Waitara alimzaa Heche, Waitara amemzika Heche. ZFZMWCCM
 
Nini msimamo wako?
Sio kila ukitakacho unakipata. Wapo ambao bado walikuwa na msaada kwa chama,

wamekwisha ondoka hakuna kurudi nyuma, wameondoka wangapi?, na Chama kitarudi nyuma mara ngapi?

Kitu cha maana kukijuwa ni kuwa ukubwa wa chama ni wingi wa wanachama, na ndio wapiga kura.
 
Mbowe anasema kukua kwa chadema ni kama safari ya treni toka Dar kwenda Kigoma. Vituo vya hapo katikati watashuka na kupanda wengi. Anachosahau ni kuwa ile aliyoita kubadili gia ilikuwa sawa na kuiteka treni pale Kaliua na kuielekeza Mpanda badala ya Kigoma ilikokusudiwa.

It's natural that every passenger with sound mind would, in that scenario, switch to another mode of transport to ferry him to his intended destination (Kigoma).
 
Back
Top Bottom