Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Ninkweli ni aibu kilichotokea uchaguzi huu, maana mpaka leo hata matokeo tume wanaogopa kuyabandika

Kwa kifupi ni mambonya aibu kwa kweli
Wanaogopa kubandika matokeo?! Kuna sehemu matokeo ya uchaguzi yayajajulikana katika Jamhuri hii?!
 
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.

Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama,ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema

Zikabaki stori za chuki na vijembe,Oo huyu jamaa ni mlevi,hana lolote,alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?

Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua,maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.

Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema,maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.

My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa magenius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz,hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
Jembe ni kitendea kazi.Ila la waitara linafaa kuchimbia na kufukia kinyesi tu.
 
Nimeshangaa mbona huu uzi wa kiboya una wachangiaji wengi sana, kumbe ni huyu kibuyu alieanzisha anajibu kila comment, jf imepatwa.
Ipo siku utajinyonga baada ya serikali kukamilisha mradi wa maendeleo kwa wananchi,una wivu wa kishamba sana. Badala ya kujadili mada,unanajadili upuuzi na wenye akili
 
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.

Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama,ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema

Zikabaki stori za chuki na vijembe,Oo huyu jamaa ni mlevi,hana lolote,alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?

Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua,maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.

Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema,maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.

My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa magenius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz,hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
Unazungumzia UCHAFUZI wa Oct 28?
 
Hana lolote juu ya chadema
 
Labda serikali ya Kikwete. Umewahi kusikia mjadala wowote kwenye vituo rasmi vya habari kama TV, Redio nk wakijadili against serekali hii? Tuko tunaona wala sio tujahadithiwa boss. Ni vyombo vingapi vya habari vimefungiwa na kupigwa faini kwasababu ya kumkosoa yesu?
Tena yesu mwenyewe wa kuchonga!
 
Ipo siku utajinyonga baada ya serikali kukamilisha mradi wa maendeleo kwa wananchi,una wivu wa kishamba sana. Badala ya kujadili mada,unanajadili upuuzi na wenye akili
Kumbe wewe ndio "genious" huko lumumba?!
 
Back
Top Bottom