Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hahaha,sometimes nakaa tu najicheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio yeye kabisa ni watu wawili tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu upo karibu na sakayo msikute mnajuana ebu tafutaneniTanga ipi hiyo, jana tu hapa mtaani palikuwa na kigodoro mtoto wa jirani anaolewa na binamu yake.
Nakupenda pia kakaNdio maana nakupenda mdogo wangu
Mngh!Ni nini si ni kweli mlisababishia ban
Mimi huyo jamaniWa kulindwa shunie au mwengne?
Sasa unaita kila mtuTukutane Pale Mombasa (PM)
Khaaaah!Mbaliz ndio muhusika
Kweli Miller nimnunie sakayo nitakufwa miehahaha
Khaaaaa mm huyo nawezaje hizo mambo za ukijijiUnacheka nn na wewe unaelekea huko
Naam Shuuu...Jamani mbalizi itikia basi
Ewaaaa,hongera sana babe.Namshkuru Mungu kwakweli siwezi mkimbia mwanaume sababu ya shida kwenye maisha kuna kupata na kukosa young
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We pokea tu wote. Atakaeput a ring on it ndo anakua mwenyewe. Sasa hub naendelea kuwachuja
Sa hv umeanza na ujumbe wa nyumba 10Khaaaaa mm huyo nawezaje hizo mambo za ukijiji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf ina vituko sana asante sana melo kwa kutuletea hiki kituHahaha,sometimes nakaa tu najicheka.
hahahaTutafunga server za jf bure
Mbalizi una nini lakiniMngh!
Mdogo wangu wewe unapenda sana helaMm je mdogo wako mie haunipendi kwani halafu nilipe hela ya kazi niliyofanya