Ujue nishazowea kupata notification nikitumia Web sasa huwezi amini eti mmenimention ujumbe nimepata kwenye App. Nimeona kama maajabu ujue.[emoji23][emoji23][emoji23] hukawii
Huhuhuhu
Hahahaa. Tena uliotukuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ukweli ngoja niupishe kwanza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahaaaa, ukienda huko my mwambie my wangu carba nimemiss na namsalimia sanaNdio my ule uzi wa like ni kulike
Yaani unaweza Potea. Sababu kupanga foleni kama mnaenda kwa Dokta si hatari hiyo rafiki.Kwakweli huyu mbalizi hafai
Huwa inatokea mara moja moja tena aliyekumention akikosea kuandika jina kwa usahihi, mfano Davet aliandika jina lako kwa kuanza na herufi ndogo mwanzoni tofauti na herufi kubwa ya kawaida ya ID yako.Ujue nishazowea kupata notification nikitumia Web sasa huwezi amini eti mmenimention ujumbe nimepata kwenye App. Nimeona kama maajabu ujue.
Hii kitu haijawahi tokea kwangu rafiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huhuhuhu
Me mwenyewe sielewi hata nini kinaendelea[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa rafiki siumeona mwenyewe mtoto hana kipingamiziKoh koh koh. Ila Davet sio kwa kujisifia huko.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa. Tena uliotukuka.
Kiukweli nakukubali mdogo wangu.
Hahahaaa. Sasa yakiishia hewani. Itakuwaje sasa?Sasa safari hii nayaibua yawe juu juu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sasa safari hii nayaibua yawe juu juu
wataje tuanze doriaKuna wadada wawili huwa nawazimia ila siwaoni mmoja inaelekea kaondoka mazima au kabadili ID
Na ndio nilichokiona mdogo wangu. Ila nimeshangaa yaani.Huwa inatokea mara moja moja tena aliyekumention akikosea kuandika jina kwa usahihi, mfano Davet aliandika jina lako kwa kuanza na herufi ndogo mwanzoni tofauti na herufi kubwa ya kawaida ya ID yako.
Ataelewa tu mbele kwa mbele....