Mmh!! Hapo sasa
Labda wamefanyia marekebishoUjue nishazowea kupata notification nikitumia Web sasa huwezi amini eti mmenimention ujumbe nimepata kwenye App. Nimeona kama maajabu ujue.
Hii kitu haijawahi tokea kwangu rafiki.
Zidi kukaribia mdogo wangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante Dada yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huhuhuhu
Me mwenyewe sielewi hata nini kinaendelea[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Lol[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Basi nenda bandani ukaangalie UROPA hukoHahah!!
Leo mvua inanyesha hatuchezi mpira
Unamuagiza tena yeye mwenyewe?Ahaaaa, ukienda huko my mwambie my wangu carba nimemiss na namsalimia sana
Hahahaaaa. Sijamtenga bana rafiki. [emoji12]Hahahah!!
Wewe tu unamtenga ila mbalizi haishiwagi stori kama hizo na hayo ni mambo anayokutana nayo katika maisha yake ya kila siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Lol
Rafiki naye haelewi. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mmh!! Hapo sasa
Hahah!! Unanitafutia ubaya adi kwenye kutaja jina tu sasaHuwa inatokea mara moja moja tena aliyekumention akikosea kuandika jina kwa usahihi, mfano Davet aliandika jina lako kwa kuanza na herufi ndogo mwanzoni tofauti na herufi kubwa ya kawaida ya ID yako.
Kuna kitu kasema Mwifwa hapo juu nadhani ndivyo ilivyokuwa rafiki.Labda wamefanyia marekebisho
Anaelewa sana sema tu anaogopa kufunguka
Hahahahahaaaaa.Unamuagiza tena yeye mwenyewe?
Hujawahi kua romantic ndugu na hili battle lazima nikuangushe
[emoji23][emoji23][emoji23]
Cheka tu rafiki. Uongeze umri. Hahahaaaa.Hahah!!
Mnanichekesha sana
Ushauzwa weweYaani hata mie nina wasiwasi aki, venye anasisitiza tuu