Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Huenda nafasi ishajazwa ndio maana naona kawaida hadi Davet ameanza kunipiga madongo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa. Haya bana mdogo wangu huwa siku zote nakubali sana mawazo ya mtu binafsi.

Kila la kheri Insha Allah. Halafu uje umringishie Davet.
 
Hahaha
Na ndugu huwa damu zinavutana ujue, sasa hapo undungu ndo ulifanya wapendane!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mara paap kapewa no kila akisave no anaambiwa no alishasave
 
Back
Top Bottom