Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Hutaki wa kukurusha huku jf wengi wakajua eee?Mmmmhhh, labda huku nje ya JF [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Hutaki wa kukurusha huku jf wengi wakajua eee?Mmmmhhh, labda huku nje ya JF [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Hutaki wa kukurusha huku jf wengi wakajua eee?
Hahahaaa. Kwa nini sasa mdogo wangu. Hawakuvutii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akitokea sawa ila probability ni 0.000001%
Ndio mana nakupenda mie ujue kelele zako lazima atanilipaEwaaaaa
Bonny naomba umlipe shunie aki, sio vizuri ujue!
Hahahah si unajua kucheka kawaida sana kwanguSio kwa cheko lile jamanii
Kweli sitaenda mvua kubwa sana na wala haina dalili ya kuacha acha nijilalie tuUsiende
Yuko wapi sasa!Ndio mana nakupenda mie ujue kelele zako lazima atanilipa
Sawa bwanaHahahah si unajua kucheka kawaida sana kwangu
Hahahaaaa. Haya bana mdogo wangu huwa siku zote nakubali sana mawazo ya mtu binafsi.Huenda nafasi ishajazwa ndio maana naona kawaida hadi Davet ameanza kunipiga madongo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He he ndio mambo za jf hizo yaan kama unacheza biko kupata na kukosa yote majibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkusindikze?Yaan nina safari nafikiria kutoka hata sijui natoka vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mara paap kapewa no kila akisave no anaambiwa no alishasaveHahaha
Na ndugu huwa damu zinavutana ujue, sasa hapo undungu ndo ulifanya wapendane!!
Angejua yaliyomo asingesema hivyo, angeishia kuona wivu tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Haya bana mdogo wangu huwa siku zote nakubali sana mawazo ya mtu binafsi.
Kila la kheri Insha Allah. Halafu uje umringishie Davet.
Kaka bonny utakuwa umefanya la maana sana njo tu unipitie unipelekeNkusindikze?
WoyoooooKweli sitaenda mvua kubwa sana na wala haina dalili ya kuacha acha nijilalie tu
Naona ameibuka tenaYuko wapi sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyooooo
JF iheshimiwe sana aiseeHe he ndio mambo za jf hizo yaan kama unacheza biko kupata na kukosa yote majibu