Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Masharti yenyewe tayari nmesha yashindwa mimi.... hahah!!

Eeh!! Hii mvua bhn naona imeamua kufanya yake sasa hakuna jinsi zaidi ya kuwa makobe tu kutwa nzima ndani..
Yaani ndiyo imekazana na RC anatwambia kesho ndiyo itakuwa kubwa zaidi si janga hili,
sahizi na tanesco wamefanya yao duu hatari
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tanescoooo
 
Yaani ndiyo imekazana na RC anatwambia kesho ndiyo itakuwa kubwa zaidi si janga hili,
sahizi na tanesco wamefanya yao duu hatari
Sasa hapo kwa tanesco ndio utata yani bora ipige tu ya kutosha ila tanesco wasifanye yao...

Pole sana asee sisi huku bado wapo pamoja na sisi
 
Back
Top Bottom