Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata kigugumizi cha vidole kila nikitaka kuandika jina la mtu naona vidole vinagoma..Wataje mkuu
Hebu ita wewe kwa sauti yako akiitika mm nakuja kumalizana naye mkuu..Kula balimi moja kwa mangi soon utakuwa ok
kiboko....hahahaMia khalifaaa
Hali ya hewa inaruhusuMapema sana hiii
Yaani ndiyo imekazana na RC anatwambia kesho ndiyo itakuwa kubwa zaidi si janga hili,Masharti yenyewe tayari nmesha yashindwa mimi.... hahah!!
Eeh!! Hii mvua bhn naona imeamua kufanya yake sasa hakuna jinsi zaidi ya kuwa makobe tu kutwa nzima ndani..
Sasa hapo kwa tanesco ndio utata yani bora ipige tu ya kutosha ila tanesco wasifanye yao...Yaani ndiyo imekazana na RC anatwambia kesho ndiyo itakuwa kubwa zaidi si janga hili,
sahizi na tanesco wamefanya yao duu hatari
Namzibua na baba akeNjoo Pale Mikumi (PM) tumzibue mtoto masikio.
Shuuuuuuuuuuu unaitwa huku
Mimi niko na mume mkuuNamsubiria aje 😎 😎 😎 😎 😎 😎
Sio kwa msaada huo wa kusaidiana kukulana pambana na hali yako tuAcha Roho mbaya maisha kusaidiana